TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, October 13, 2012

HUYU NDIO ALIEIMBA WIMBO WA NI WAKATI WAKO NA DTV

 Mwanadada anaitwa Hawa huyu ndio alieimba hile nyimbo ya ni wakati wako ambayo unaisikia kila mara katika luninga yako ya dtv, Kama umemsahau huyu dada ndie alieimba wimbo wa NITAREJEA NA DIAMOND PLATNAM kwa sasa ana mtoto mmoja.anaishi zake tabata na mzazi mwenzie,amefurahi sana kupewa nafasi yakuimba wimbo wa dtv na anaamini ameutendea haki.,

 Hapa akiandika mistari ya wimbo wa ni wakati wako

 hapa akifurahi baada ya kuona kazi yake ya uandishi ikienda poa

baada ya kuandika mistari sasa anatafuta melod ya wimbo yeye mwenyewe kwa kutumia gitaa

 Hapa akimuhuliza mratibu wa tamasha la niwakati wako tour '' Hk kama nakosea niambie nibadirishe melod usikae tu kimya au umekubali kazi? na hk akajibu "ndio nimekubali kazi nzuri.

 Hapa akiwa na MUKI  kutoka kwenye kundi la MAKOMANDO wazee wakibega,huyu ndio alieshirikiana nae kuimba wimbo huu wa NI WAKATI WAKO.Kwakeli ni nyimbo poa sana.

Hyperman hk akiwa na producer wa kiri rec,  c9 kwenye chumba chakuingizia voko yupo mwanadada hawa akikamilisha kuingiza voko na wimbo ulikamilika siku hiyo hakuna kulala mpaka kilieleweka,hapo ndio harakati za ni wakati wako tour zilikamilika kikamilifu na watu kuanza kuingia mtaa kusema na rahia kuhusu dtv.

NI WAKATI WAKO TOUR NDIO HABARI YA MJINI.

No comments:

Post a Comment