Huu ni mwaka wangu mpaka kufikia mwakani kwenye tuzo za kili music awards lazima nichukue tuzo mbili mpaka 3. kwa mana nimejipanga kisawasawa kwa ajili yakufanya makubwa zaidi katika mziki wangu . hili niweze kufikisha malengo yangu moja wapo ni kuchukua tuzo za kili music award na pili kwenye kufanya show kali katika jumba la big brother afrika ya kusini panapo uhai.alisema sharo milionea.
Sharo katika pozi
Ohhh mama
Sharo milionea akicheza na mihela
No comments:
Post a Comment