Yule msanii mahiri tanzania kulwa kikubwa a.k.a dude ameibiwa kila kitu nyumbani kwake na vibaka.dude amesema"hiyo kitu imemuuma sana na imemrudisha nyuma kwa kiasi kikubwa na kuazia siku ameibiwa' amesema" anawachukia sana wezi.na hole wake ampate mwizi wake.eti atamnaniino.wezi gani hawa? wameiba mpaka daku. alimalizia kwa kusema.
No comments:
Post a Comment