Hali ya gwiji wa muziki wa taarab katika bara la afrika fatuma binti baraka a.k.a BIKIDUDE bado ni tete. xtreme djz imeongea na wasanii wa kundi la offside triq wamesema kwamba kwa sasa bikidude anaendelea vizuri kidogo tofauti na siku mbili tatu zilizopita ambapo alipoteza mpaka fahamu kwa muda wa dakika 90 .xtreme djz inamuombea shujaa wetu wa muziki afrika bikidude aweze kupata nafuu.inshaallah
No comments:
Post a Comment