TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, June 8, 2012

X-DEEJAYZ CORNER @CLUB MAISHA DODOMA


Dj kata A.K.A BABU and S-DIZO wakiwa nje ya mgengo wa club maisha dodoma


Foleni kubwa ya wapenzi wa club maisha dodoma wakati wanaingia mjengoni jana usiku 


Watu weweeeee,full kujiachia mjengoni club maisha ndio chaguo lako ndugu,ukiwa DAR,DOM, and MTWARA


Jionee mwenye jumba lilivyofurika watu, tukisema hapatoshi tunamanisha,DJ S-DIZZO akizungukwa wa mamia ya wanaburudani.


Mitambo ya kisasa inayotumika kutoa burudani ndani club  maisha, Hakuna bahati mbaya kwenye burudani..... lazima ujue unachokifanya 


DJ kata A.K.A DJ BABU akifanaya mavituzi jana mjengoni.

No comments:

Post a Comment