TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, January 29, 2014

MREMBO AELEZA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YALIVYOMUHARIBU, YAMEMUATHIRI HADI KUFANYA TENDO HILO MBELE HAWEZI TENA, ASEMA ANA MIAKA 10 ANAFANYWA NYUMA TU..!

Msichna aliyefahamika kwa jila Amina mkazi wa Kariakoo Jijini Dar akiwa kitandani.
Na Mwandishi wa Xdeejayz- Kariakoo
Katola hali isiyokuwa ya kawaida na kusikitisha msichana mmoja ambae ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida ambae ni Mwarabu wa Ndugutu aliyejitambulisha kwa jina la Amina Hussein amesema kuwa mapenzi kinyume na maumbile yamemuathiri vibaya kiasi cha kumfanya kutokutamani tena kufanya sehemu za mbele.
Akiongea na Xdeejayz Amani ambae aligoma kupiga picha usoni kwa madai kuwa familia yake ni inaheshimika sana na alisema " Ukweli siku zote humuweka mtu huru mimi nimeathiriwa sana  na mapenzi kinyume na maumbile huu mwaka wa kumi toka nipo shule huko Mwanza ndiko nilikokuwa nafanya hivyo hadi leo" Alisema Amina

Akielezea Xdeejayz  alivyojifunza na mchezo huo pendwa kwa sasa Amina alisema" Unajua wakati nasoma boarding huko ndiko nilipojifunzia kwani mpenzi wangu alinifundisha kufanya hivyo kama njia ya kuepuka mimba hali iliyonifanya kuzoea hadi leo na jinsi nilivyozoea kila nikiutana na mwanaume wala asijisumbuea kushughulikana na mimi mbele yeye aende nyuma tu kumaliza jaha zake" Alisema Amina
Hata hivyo msichana huyo aliongeza kusema kuwa baada ya kumaliza masomo aliendelea na mchezo huo kiasi cha kumfanya azoee hadi leo na kila akikutana na mwanaume yeye huwa ndiyo anamlazimisha amfanye nyuma kwani akifanywa mbele anaumia sana kutokana na hajawahi kuguswa hata siku moja nyuma ndo huwa ndo haumii.

TAARIFA: Blog hii haihusiki na upigaji picha wahusika wanaripotiwa humu au kuwa na mahusiano ya aina yoyote ile isipokuwa huandika habari kwa ajili ya wasomaji wetu na nzuri zaidi kabla ya kuingia kwenye blog hii kuna maelekezo ya aina mbili ambayo yataeleza kama unahitaji kusoma habari zetu au laa na hii blog maudhi yake ni ya kiutu uzima watoto chini 18 hawaruhusiwi kuingia"
'GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA JUMATANO DAKA KOPI YAKO MAPEMA"

VIBRATION YA SIMU YAMUUMBIA MREMBO ALIYEIBA NA KUISUNDA SEHEMU NYETI ILIMTEKENYA HADI AKAZIDIWA..!

binti
MREMBO mmoja mkazi wa Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam (jina lake halikupatikana) mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya kuvamiwa na kudundwa baada ya kudaiwa kukwapua simu ya mwanaume na kuificha sehemu zake za siri.

 Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, awali mrembo huyo alikuwa akila bata na mwanaume aitwaye Hashim kwenye Baa ya Jassun Inn iliyopo maeneo ya Mabibo huku mwanaume huyo akiwa ametandaza simu zake za kisasa juu ya meza.

  Imedaiwa kuwa wakati wakiendelea kuponda raha, Hashim alikwenda msalani kwa lengo la kujisaidia na kuacha simu zake mezani, aliporudi hakumkuta mrembo aliyekuwa akiponda naye raha na simu yake moja haikuwepo.

“Jasho lilimtoka Hashim na kuwauliza watu waliokaa jirani alikoelekea mrembo huyo,” alisema shuhuda mmojawapo wa tukio hilo na kubainisha kwamba msamaria mwema mmoja alimweleza Hashim mwelekeo wa mrembo huyo. Bila kuchelewa Hashim aliwakusanya wapambe wake na kuanza kumtafuta mrembo huyo na wakamnasa mita kama 150 kutoka Baa ya Jassun na kumuuliza kuhusu simu iliyokuwa mezani lakini alileta ubishi.
 

“Walijitahidi sana kumbembeleza ili aitoe simu kwa hiyari yake lakini alikataa, ndipo Hashim na wapambe wakamwanzishia songombingo la nguvu na kufikia kumvua nguo hadharani na simu ikakutwa kwenye nguo yake ya ndani,” shuhuda wetu alisema.

  Taarifa kutoka eneo la tukio zinasema kwamba, hadi kufikia kupatikana kwa simu hiyo, mrembo huyo alikuwa hoi kutokana na vurugu aliyofanyiwa na wapambe wa Hashim ambao walipoipata simu walimvisha nguo pamoja na wigi lake lililokuwa limemvuka.Credit: Global publisher
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA SIKU YA JUMATANO KWA SHLINGI 500 TU" 

INASEMEKANA LAKINI: ALIYEJICHORA TATOO YA JINA LA BOYFRIEND WAKE WEMA SEPETU NDIO ANAYEJIVINJARI NA MZEE MZITO HUYO

 Katika pitapita yangu nimekutana na michoro hii kwenye sehemu ya mwili wa binti huyu mrembo mweupe mwenye asili kama ya kiarabu hivi. 
Inasemekana huyu binti ndio yuko na yule mnene wa madam wema sepetu inasemekana lakini, sina uhakika.... waya ukavutwa na binti huyo ambaye namba yake ina tarakimu 555 sijui kati au mwisho.. sijajua nikauliza huyu kwenye picha ni wewe? akasema ndio mbona umechora hili jina wakati mie najua wewe ni mke wa mtoto wa mwanamboka? akacheka sana....... kisha akasema hayo mengine muachie baba na mama..!!!'' hii tatoo unayoona hapo ni ya mtu wangu wakaribu sana na ndio waubani wangu kwa sasa''. nikamuuliza tena kwani we ujui kama huyu ndio yule wa madam wema sepetu? akasema ''mmi sijajua kwakweli sijawahi kumuona namsikiaga tu''.
 
 Baada ya kuwa nae ndio nikajua kama kumbe kuna ukweli juu ya hili swala, sasa nitafanyaje na mie nimeshazama? duuuu nikauliza tena sasa madam hajakupugia kukuulza lolote kuhusu kuwa na uhusiano na mtu wake.. akajibu... akacheka kisha akasema hayo yaishie hapa hapa ....basi mdomo koma nami nahishia hapa mengine tumuachie baba na mam.....
  katatoo kamempendeza....
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI PATA BAHARI MPYA WIKI HII NI WEMA SEPETU ALIVYONASA KWENYE MTANDAO WA NGONO.PICHA ZAKE NA MAIKI SANGA ZAZUSHA BALAA KUBWA"

MASOGANGE APATA MCHUMBA MUHINDI NA AUNT LULU AMSHTUMU ALIYEMFUNDISHA KULA KITI MOTO..!


GAZETI LA MASKANI LEO MTAANI DAKA KOPI YAKO MAPEMA KUPATA HABARI ZOTE HIZI

GAZETI LA MASKANI BONGO LEO: WEMA SEPETU ANASA KWENYE MTANDAO WA NGONO PICHA ZAKE NA MANAIKI SANGA ZAZUSHA BALAA MTAANI, YADAIWA ZIKO NYINGINE MBAYA ZAIDI ZINAKUJA..!

GAZETI LA MASKANI LIKO MTAANI LEO JUMATANO 29/1/2014

Tuesday, January 28, 2014

WEMA SEPETU NA MANAIKI SANGA KUNA JAMBO LINAENDELEA KATI YAO SIO BURE..!


Na Mwandishi Wetu
Super Star wa Bongo Movie Wema Sepetu inadaiwa kuna jambo lililojificha kati yake na msanii chipukizi  Manaiki Sanga  na imekuwa siri kubwa sana ili watu wasielewe kinacho.
GAZETI LA MASKANI KESHO LINAKUPA MKANDA MZIMA PAMOJA NA PICHA ZAO ZA UTATA USIKOSE KOPI YAKO MAPEMA

HIVI NDIVYO MSANII WA KOMEDI ALIVYONUSURIKA KUFANYIWA KITU MBAYA NA MABAUNSA, BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU..!


Na Mwandishi wa Xdeejayz
Msanii aliyejichukulia umaarufu mkubwa kutokana na stairi yake ya uigizaji imesemekana ilikuwa alawitiwe endapo angenasa mtego huo wa fumanizi lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda.
Habari za uhakika zilizofanywa na Xdeejayz baada ya wiki iliyopita kuzuka habari za kufuamaniwa kwa msanii huyo aliyefahamika kwa jina la Kinyambe.
Paparazi wetu ambae alifika eneo la Kawe ambako ndiko inakodaiwa msanii huyo alifumaniwa wakiongea kwa sharti  ya kutotajwa majina yao walisema" Huyu jamaa Mungu alikuwa upande wake kwani huyo jamaa mwenye mke alikuwa ameshaandaa mabaunsa kwa ajili ya kumlawiti msanii huyo lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda" Alisema mama mmoja ambae aliongeza kusema mabaunsa hao walikuwa wanne.
Xdeejayz ilimtafuta Kinyambe kupitia simu yake ya mkononi aliendelea kusisitiza kuwa hakufumaniwa na wala hajawahi kufumaniwa huo  ni mpango wa kumchafua.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KESHO USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO"