TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, December 18, 2015

KIMENUKA: MIPANGO MIJI, MAAFISA ARDHI KINONDONI NA MAFISADI WA ARDHI KATA YA WAZO SASA ROHO ZAO ZIPO MIKONONI MWA WAZIRI LUKUVI ZOEZI LA DC MAKONDA LAIBUA MADUDU MAKUBWA...!

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi ambe kwa sasa ameshikilia roho za maafisa Ardhi, Mipango Miji na mafisadi Ardhi kata ya Wazo kwenye mtaa wa Nyakasangwe na Nakalekwa ambao wameshasababisha roho za watu wengi kupotea kwa uzembe huku wakidaiwa kutumia nguvu ya pesa kuwashika watu wa Mipango Miji na Ardhi Manispaa Kinondoni.
 Wakazi wa Nyakasangwe kata ya Wazo hivi ndivyo walivyompokea DC MAKONDA kwa mabango ya kuwakataa Maafisa Ardhi na Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni DASA. kwa kukosa imani nao kwa madai ya kuwa wameshirikiana na mafisadi kuwaangamiza

  DC MAKONDA kama anavyoonekana amezungukwa na mabango ya kuwakataa watu wa mipango miji na Ardhi kwa kutuhumiwa kwa ufisadi.

 Na Mwandishi Wetu- Wazo
 Tangu kuteuliwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi, hali ya mafisadi wa ardhi nchini kote imekuwa mbaya kwani huenda muda wowote ni kikawaka kwa kuporwa ardhi hizo ambzo ni mashamba makubwa ambayo yalikuwa hayalipi kodi Serikalini hadi wananchi walipoyavamia na kujenga makazi.
Moja ya eneo linalotajwa sana kuwa kuna ufisadi mkubwa ni Wazo kwenye mitaa ya Nakasangwe na Nakalekwa ambapo tayari kulikuwa na jitihada za DC Makonda kutaka kumaliza mgogoro huo lakini nguvu yake ilikuwa ni ndogo kutokana na nguvu kubwa waliyokuwa nayo mafisadi hao ambao wanamtandao hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar.
Hata hivyo kwenye zoezi linaloendelea sasa la kuhakiki viwanja hivyo kumekuwa na udanganyifu mkubwa kwa mafisadi hao ambao awari walizungumza uwongo kwa kusema wanaukubwa flani wa eneo lakini kwenye vipimo wanakuta tofauti hali ambayo inadaiwa huenda ikawaletea matatizo mafisadi hao kutokana kuidanganya Serikali na Mahakama.
Kutiokana na hali hiyo watu wengi nchini wana imani na Mh Lukuvu kushugurikia ufisadi huu na wale wote waliohusika na mgogoro huo kama ni maafisa ardhi na watu mipango miji basi wachukulie hatua.
Credit: Maskanibongotz 

Thursday, December 17, 2015

MGANGA WA MASTAA NCHINI AWACHANGANYA WAARABU KWA NGUVU YA MITI SHAMBA ZAKE, WASHINDWA KUAMINI MAAJABU YAKE MAGONJWA, WATU WAZIDI KUMIMINIKA MKOANI TABORA..!

Dokta Kamdege mtaalamu wa miti shamba anaetambiliwa na chama cha waganga wa tiba za asili Tanzania ambae amekuwa msaada mkubwa kwa watu duniani kutokana na dawa zake kuponya watu live pamoja na kuwasaidia kwa kuwaondoa mikosi na nuks, kupandishwa vyeo, kusafishwa mikosi nk kwa wale wanaotaka kusafari nje ya nchi kwa ajiri ya kutafuta maisha.
Hizi ndio moja ya dawa za miti shamba sio uchawi anazotumia Dokta Kamdege kuwasaidia watu wengi toka sehemu mbalimbali Duniani
                         
JOPO LA MADAKTARI TOKA NCHINI OMAN WAKIWA PICHA YA PAMOJA. Na Mwandishi Wetu Yule Mtaalam wa Miti shamba Tanzania maarufu kama Dokta Kamdege ameendelea kuitanga nchi ya Tanzania kimataifa baada ya dawa zake kuwashangaza madakatari wa nchini Oman kwa kutibu magonjwa sugu. Akiongea na kwa njia simu namba +255 763-146231 toka mkoani Tabora ambako waarabu hao na watu mbalimbali Duniani wamekuwa wakimiminika kwenda kupata tiba zake za asiri ambazo zimeonekana kuwafanya maajabu hata kwa wazungu na waarabu. Dokta Kamdege ambae anatambulika na chma cha waganga wa tiba za asili Tanzania na ana leseni inayomtambulisha kufanya kazi hiyo ndiyo maana hata wazungu wamekuwa wakimuamini. Dokta Kamdege amekuwa pia akiwasaidia hata watanzania wengi kwa tiba zake viongozi mbalimbali, mastaa na wengineo wengi kwani tiba zake za kumuondoa mtu mikosi, kumfanya mtu apandishe cheo, kupata mtoto hata kama ulikuwa mgumba, kisukari, miguu au mikono kuwa na ganzi, kumpa mtu baraka ya safari au kuweka sawa mambo ya bishara kutokana na roho mbaya za bianadamu na mambo yote hayo hhutibu kutumia miti shamba si kitu kingine. Kamdege alitoa uwito kwa watanzania kuendelea kupata tiba zake kwa kipindi hhichi ambacho yupo Tanzania kwani hana muda mwingi taelekea nchini Uturuki alikoalikwa na Serikali ya huko na yeyote aliyetayari mahara popote duniani amcheki kupitia simu namba +255 763 146231, 788 844490 na atasaidiwa hapo alipo.
                              

Tuesday, December 15, 2015

MWANDISHI WA HABARI AOTA UWAZIRI KWA RAIS MAGUFULI, ASEMA ANAMUDU NAFASI YOYOTE KAMA IKITOKEA MHESHIMIWA RAIS AKIMKUMBUKA...!

 Mwandishi wa habari maarufu nchini Bossngasa akiwa maeneo ya viwanja vya bunge hivi karibuni kwenye michakato flani na waheshimiwa wabunge na mawaziri
 Boss ngasa kwenye muonekano.
Na Mwandishi wetu- Dodoma
Mwandishi wa habari maarufu nchini Bossngasa ameijitokeza na kuonesha hisia zake kwa mheshimiwa Rais kama atamkumbuka hata Uwaziri flani kwenye nafasi zilizobaki ambazo hadi sasa Mheshimiwa hajachagua.
Akiongea na maskanibongotz, Ngasa alisema " Naweza kusema kuwa mimi ni kijana msomi na ni hadhina ya taifa hili hivyo kwa uwezo wangu wa kudadavua mambo ya kijamii nadhani Mheshimiwa Rais anaweza kunikumbuka hata nafasi  moja tu ili niwaonesha watanzania kama mimi naweza" Alisema Ngassa
Aidha Ngasa ambae ni rafiki kipenzi na Mbunge na Naibu waziri Mh Antonie Mavunde  amesema anampongeza Mh Rais kwa kumchangua Mh Mavunde kuwa Naibu Waziri kwani hakufanya makosa Mavunde ni mpiganaji na msomi mwenzake mwenye kujitambua.

UKATILI: MSICHANA WA KAZI ANUSURIKA KUBAKWA NA BOSS WAKE WA KIHINIDI, ALIMUITA CHUMBANI KWAKE KISHA AKAANZA KUMLAZMISHA KUMVUA NGUO..!

Hii nidyo picha iliyonaswa na mtandao wa maskanibongotz ikimuonesha muhinidi akimnyanyua mguu bint wa kitanzania na kujaribu kumuingilia kinguvu.
Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua muhindi mmoja mkazi wa Posta Jijini Dar ambae hakufahamika jina lake hivi karibuni alinaswa akitaka kumbaka msichana wake wa kazi.
Kwa mujibu wa mtoa habari hii ambae ameomba hifadhi ya jina lake amesema kuwa muhindi huyo pia ni bosi wa mambo ya filamu Tanzania, alinaswa akiwa chumbani kwake  na msichana huyo huku akimvua kwa nguvu jeans yake  kama picha inavyoonekna.
Credit: maskanibongotz

Saturday, December 12, 2015

MAKUBWA HAYA: WANANCHI WAKESHA SIKU TATU KUFURAHIA UTEUZI WA LUKUVI KWENYE NAFASI YA UWAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO..!

WAKAZI WA NYAKASANGWE KATA YA WAZO WAKIFURAHIA KUTEULIWA KWA WAZIRI Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh William Lukuvi, kwani wana imani kuwa atashirikiana na DC MAKONDA kuwasambaratisha mafisadi wa ardhi wanaotamba ..!
Credit: Maskanibongotz

Thursday, December 3, 2015

VIONGOZI WA DINI WAWACHARUKIA VIONGOZI WA SERIKALI, WATANZANIA WENGINE WAOMBA KUUNGANA NAO KWENYE JAMBO HILI MUHIMU KWA TAIFA LETU...!


 Shekh Sharif Khamis ambae kwa sasa amrejea Tanzania akitokea nchini Kanada na Kongo alikokuwepo kwa ajari ya kufanya dua za kuwakomboa watu kwenye matatizo yao.
Mchungaji Kiongozi Amos Mbena  wa Kanisa la Pentecostal Holness Mision Bonde la Ukombozi lililopo Kimara Suka mtaa wa Gorani
                         
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli ambae anaihitaji maombi ya watanzania kuendelea kuwatia jamba jamba wafanyabishara wanaokwepe kulipa kodi huku akiombwa kutosahau  migogoro ya ardhi kule Nyakasangwe na Nakalekwa kwa maana ufisadi ulipo kule ni wa kutisha watu wenye pesa wananguvu kuliko Serikali.
Dr Kessy
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda      
Watumishi wa Mungu wa imani zote wamejitokeza na kusema maombi maalum kwa ajiri wa viongozi wa taifa hili ambao dhaihiri wameonekana kupambana na na ufisadi uliokuwa tishio kwenye Serikali iliyopita kiasi cha kuwafanya wananchi kukosa imani na Serikali yao.
Maskanibongotz kama kawaida yake ilifanya mahojiano maalum na watumishi hao kwa nyakati tofauti ambapo Dr Kessy ambae ni mkurugenzi wa Fiesal Naturopathic Clinic iliyopo Mburahiti Shule ya Msingi Mianzini alianza kusema " Shekh hakika sisi tunaendelea na dua za kila siku  kuwaombe viongozi wetu ili mungu awalinde na kuwapa ujasiri zaidi wa kupambana na hayaoa mambo ya kifisadi"Alisema 
Aidha Dokta Kessy aliongeza kusema kuwa Mh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ambae kiukweli amefanyakazi nzuri na ya hatari kutangaza vita na mafisadi wa ardhi kiasi kwamba hadi sasa hali ya amani imeanza kurejea kwa wakazi wa Nakasangwe na Nakalekwa .
Aidha anae Mchungaji wa Kanisa la  Pentecostal Holness Mision Bonde la Ukombozi lililopo Kimara Suka mtaa wa Gorani Amos Mbena alisema" Tunapaswa kuungana watu wote wenye nia ya dhati na taifa hili kama tulivyofanya kwenye uchaguzi hivyo tuendelee kuwaombea viongozi wetu wa taifa hili.
Nae kijana Shekh Sharif Khamis ambae amekuwa akiizunguka Dunia kwa ajiri ya kufanya dua ili watu wapate ukombozi ambae kwa sasa amrejea nchini alisema " Taifa hili bado linahitaji dua ya kutosha kuwaombea viongozi wetu, Mh Paul Makonda amejitoa muhanga kupambana na ufisadi wa ardhi kule Nakasangwe na mahara pengine ni jambo ambalo wengi liliwashinda" Alisema kijana huyo na kuwaomba watanzania wote kuendelea kuwaombea viongozi wetu
Credit: maskanibongotz



Tuesday, December 1, 2015

KIBANO CHA RAIS MAGUFULI KWA WAKWEPA KODI: WAFANYABIASHARA WENGI SASA WAMKUMBUAKA RAIS JAKAYA , WENGI WADONDOSHA MACHOZI WASI WASI WATANDA HUENDA WAKAHAMA NCHI...!

 Rais wa awamu wa NNE Mh Jakaya Mrisho Kikwete, ambapo wafabiashara wengi kwa sasa wanamkumbuka kutokana na kibano wanachokipata sasa cha Serikali ya awamu ya Tano ya Mh Dokta Magufuli ambae amewatangazia kiama wakwepa kodi wote hadi sasa wengine wameanza kukimbia nchi kuhofia kutiwa mikononi kwa wale wote ambao walikuwa hawalipi kodi na kuisababishia hasara Serikali. maskanibongotz mzigoni
Wafanyabishara wengi ambao walikuwa wanafanya kazi kiujanja ujanja sasa hivi wanalia na kuikumbuka Serikali ya awamu ya nne.

Rais John Pombe Magufuli mzee wa hapa kazi akizungumza na simu ya kiganjani, ambapo amevunja rekodi kwa kipindi kifupi kwa kuokoa mamilioni ya shilingi kwa kukataa kufanya sherehe mbalimbali badala yake fedha hizo zimetumika kusaidiama maeneo mengine yenye uhitaji.
Huku watanzania wengi wakimpa Mungu utukufu kwa kuwapatia Rais waliyekuwa wanamuhitaji
mfanyabishara maarufu.
Source:maskanibongotz