Du!
Kweli ushabiki wa mpira ni kwere,.. Yani kijana huyu hakuamini
kilichomtokea maana ghafya alijikuta mikononi mwa njemba hiyo
iliomkamata hapo pichani nakuvuliwa T.sheti ikachanwa fasta hata mabaki
hayakuonekana ilisikika kauli ya mashabiki wengine wa Yanga wakisema
apigwe..! Apigweeeee...! Ikifuatiwa na kauli ya
njemba hiyo-> Puuumbavu..! poteaaaaaaaaaaa...! Dogo akatoka mwendo wa jeti.
Yuleeeeee...!!! Kijana baada ya kuchaniwa T.sheti yake iliokuwa na rangi nyekundu aamua kusepa kabla kichapo hakijajiri..
Mmh.. Isiwe tabu ngoja ninunue ya njano haraka kabla hayajanikuta maana vijana mmecharuka..!
Vinywaji
viliuzwa kulingana na kipato chako ukiwa na buku utakunywa cha buku,
Ukiwa na mia utakunywa kinywaji cha mia kama unavyoona hapo pichani.