TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, January 30, 2014

HIKI NICHO KILICHOIPONZA YANGA KUTOKA SALE NA MKWAKWANI TANGA JANA..!

Du! Kweli ushabiki wa mpira ni kwere,.. Yani kijana huyu hakuamini kilichomtokea maana ghafya alijikuta mikononi mwa njemba hiyo iliomkamata hapo pichani nakuvuliwa T.sheti ikachanwa fasta hata mabaki hayakuonekana ilisikika kauli ya mashabiki wengine wa Yanga wakisema apigwe..! Apigweeeee...! Ikifuatiwa na kauli ya
njemba hiyo-> Puuumbavu..! poteaaaaaaaaaaa...! Dogo akatoka mwendo wa jeti.
Yuleeeeee...!!! Kijana baada ya kuchaniwa T.sheti yake iliokuwa na rangi nyekundu aamua kusepa kabla kichapo hakijajiri..

Mmh.. Isiwe tabu ngoja ninunue ya njano haraka kabla hayajanikuta maana vijana mmecharuka..!

Vinywaji viliuzwa kulingana na kipato chako ukiwa na buku utakunywa cha buku, Ukiwa na mia utakunywa kinywaji cha mia kama unavyoona hapo pichani.


Shabiki aliyechangamka kama ameogea ndimu huyuuuuuuuu...!!!

Dah! Hawa jamaa noma..! Kama meza ya kamari?..

Mwene No Disc' Mchekeshaji kutoka kundi la (VITUKO SHOW) nae alikwepo, Kumbe ni shabiki wa Yanga..

Masai Nyotambofu director wa masainyotambofu.com kama kawaida ndani ya nyumba.



JUKWAA la wana Yanga
JUKWAA la Coastal Union











Ha ha haaaa!!! tisha mbayaaaaaaa...!



Wakati wa kuingia ilikuwa mbinde kwelikweli utadhani unaingia bure...



Safari ya wana yanga ilianza namnahii baada ya mechi kuisha 0-0

No comments:

Post a Comment