TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, March 13, 2016

TUZO YA LULU YAZUSHA KIZAAZAA, VICTORIA LUOGA, MANAIKI SANGA WAMSHUKIA MSANII HUYO KWA TUZO HIYO, ANGALIA HAPA...!

 Msanii Chipukizi kwenye kiwanda cha Filamu Tanzania Victoria Luoga, ambae amempongeza msanii Lulu Michael kwa kupata tuzo lakini pia kuitangaza nchi yetu Kimataifa

 Msanii Manaiki Sanga nae pia ametoa pongezi kwa msanii Lulu kwa kuitangaza nchi Kimataifa
Filamu ya Msanii Lulu iliyompatia Tuzo.
Na Mwandishi Wetu.
Msanii chipukizi kwenye Filamu za Kitanzania ambae pia ni mjasiriamali Victoria Luoga amempongeza msanii Lulu kwa kutwaa Tuzo la Filamu Bora Afrika Mashariki na Kati nchini Nigeria wiki iliyopita.
Victoria ambae pia mfanyabiashara lakini pia msanii anaechipukia huku akiwa ameshiriki filamu mbalimbali zinazosumbua sokono ikiwemo ya Wake Up ya msanii Manaiki Sanga ambapo ndani ya filamu hiyo ameonesha kipaji cha hali ya juu kiasi cha kuwashtua mastaa.
Aidha filamu nyingine ambayo itatoka hivi karibuni ya Kivuri Changu ambapo Victoria amecheza kama staa wa filamu hiyo iliyowashirikisha mastaa wengi akiwemo msanii wa Komedi Chili.

No comments:

Post a Comment