TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, August 15, 2015

WEMA SEPETU ANASA KWA MSANII WA SINEMA WA MMAREKANI, WAFUMWA USIKU WA MANANE WAKIWA MAISHA BASEMENT, MASTAA WA KIKE BONGO MOVIE WAPIGANA VIKUMBO..!

 bofya hapa kuona filamu ya kimataifa ya Going Bongo


Na Mwandishi Maalum

 Mjini bwana kuna mambo mengi sana hasa ukijichanganya kwenye viunga flani flani vya burudani utasikia yanasemwa mazito na usiyoyatagemea, ambapo kwa sasa habari mpya ya mjini ni juu kijana Ernest Napoleon ambae makazi yake nchini Marekani lakini ni mtanzania ambae kwa sasa yupo hapa mjini kwa mapumnziko mafupi. Ernest Napoleon ni staa wa filamu ya Kimataifa ya Going Bongo imeelezwa kuwa kwa sasa anadaiwa kuwa kwenye mahusiano mazito na staa wa Bongo Movie Wema Isack Sepetu hayo yanasemwa na watoto wa mjini wanaofatilia maisha ya mastaa kwa kila kukicha, Gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita ilipita katika kiunga cha starehe cha Maisha Basement maeneo ya Makumbusho na kuzinyaka nyepesi nyepesi hizo toka kwa wadau hao. Vyanzo hivyo vya habari vilieleza baada ya kumuona Ernest Napoleon akiingia na ndinga ya kinyamwezi VOUGE yenye namba za usajili CBK 859 katika viunga vya Club hiyo huku gari hiyo ikiwa na vioo tinted ya ukweli ambayo hata ukisogea jirani huwezi kuona kilichopo ndani lakini watu wataalam bwana walipenyeza macho na kuona bint mrembo ambae wengi walisema alihisiwa ni Wema Sepetu. Hata hivyo paparazi wetu ambae baada ya kusikia minong'ono hiyo alikurupuka toka ndani nusura ateleze kwenye ngazi ndefu zilizopo kwenye Club hiyo iliyopo chini kabisa na kusogea karibu ili nae asipitwe na taarifa hizo na na kushuhudia gari hiyo yenye thamani ikiwa ikiwa inanguruma zaidi ya masaa manne bila watu kushuka. Habari zaidi juu ya tukio hilo zilieleza kuwa gari hiyo iliingia maeneo hayo majira ya saa tatu usiku hadi saa saba usiku baadae Ernest Napoleon alishuka na kuelekea mahara wanapouza chakula ndani ya Club hiyo na baadae alirejea na kuingia tena ndani ya gari kisha iliondoka na kuelekea maeneo ya Mikocheni kupitia zilizpo ofisi za Mlimani Tv. Baada ya tuki hilo mmoja wa watu wa karibu na Ernest Napoleon alimwambia mwaandishi wetu kuwa msanii huyo yupo kwenye mahusiano ya karibu na Wema Sepetu bila kufafanua ni uhusiano upi haswa waliokuwa wasanii hao wenye jinsia mbili tofauti, hiyo imekuja baada ya Ernest Napoleon kung'ara na filamu yake ya Going Bongo ambayo hadi sasa imeshaoneshwa zaidi ya nchi saba Duniani zikiwemo nchi ya China, Ujerumani, Uturuki, Marekani, Uingereza, Kenya na nchi nyinginezo ikiwemo Nigeria. Aidha habari nyingine toka kwa vyanzo vyetu vya habari vilisema kuwa mastaa wengi wa kike hasa wa bongo movie wamekuwa wakipigana vikumbo kuwa karibu na msanii huyo tangu siku filamu hiyo iipooneshwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania huko Zanzibar na kufanikiwa kuchukua tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki na kati, mastaa hao waliotajwa kujiweka karibu ni Lulu Michael,Joketi Kidoti, Irene Uwoya, Jackline Wolper na Dvj Penniel ambae kwa muda mrefu alikuwa mafichoni toka abwage manyanga kwenye kituo cha E-fm Radio 93.7 alichokuwa anatangaza. Joketi na Ernest Napoleon walianza kutia shaka toka siku ilipooneshwa filamu hiyo kwenye ZIFF, Kidoti alishindwa kujizuia ambapo mara ya kumalizika filamu hiyo alimfuata Ernest na kumkumbatia pamoja na kumbusu kiasi cha kuwashtua watu huku akimpongeza msanii huyo kwa kazi nzuri ya kimataifa lakini cha zaidi Kidoti alimwambia Ernest kuwa hakuamini kama filamu hiyo imeigizwa na mtanzania kutokana na kuwa na hadhi ya juu sana na kwa haraka mtu huwezi huwezi amini. Gazeti hili lilianza kumtafuta Ernest Napoleon kupitia simu yake ya kiganjani ili kuthibitisha madai hayo yote juu ya mahusiano hayo ambapo alipatikana na kuelezea ukweli wa mambo na swali la kwanza lilikuwa kutaka kujua mahusiano yake na Wema yakoje jibu lake ni hili " Kaka mbona mimi sielewi unamaanisha nini? kwani mimi namfahamu Wema kama wewe unavyomfahamu si vinginevyo" Alijibu Ernest, Lakini gazeti hili pia liliuliza kama mtu aliyekuwa nae usiku pale Club ndani ya gari alikuwa nani majibu mengine. Msanii huyo alicharuka na kuwa mkali kama hivi " Sasa huo ni unafiki kwani nyie mliniona nae wapi na mnauhakika gani kama yule alikuwa ni Wema hayo majungu mimi nilikuwa na mtu mwingine lakini siyo Wema" Alijibu Ernest na kukata simu hata alipopigiwa simu tena mara ya pili na kuulizwa kuhusu madai ya ukaribu na mastaa wa bongo movie wa kike alisema kuwa ukaribu aliokuwa nao ni kujadiliana kuhusu sanaa ya bongo namna watakavyoifikisha kimataifa huku akisema Dvj Penniel ambae siye muigizaji yeye alikuwa na mishe nae mambo ya kazi sio sanaa wala mambo mengine wanayofikiria watu Credit:Maskanibongotz
KAMA UNA HABARI YENYE USHAHIDI WASILIANA NA 93.7 E-FM, SIMU 0713-575718 Browse » Home WEMA SEPETU ANASA KWA MSANII WA SINEMA WA MMAREKANI, WANASWA USIKU WA MANANE WAKIWA MAISHA BASEMENT, MASTAA WA KIKE BONGO MOVIE WAPIGANA VIKUMBO..! Posted by maskani bongo at 11:25 AM bofya hapa kuona filamu ya Goingi Bongo ambayo imewadatisha mastaa wengi wa bongo movie kiasi cha kumuweka mtu kati staa wa filamu hiyo Ernest Napoleon Na Mwandishi Maalum Mjini bwana kuna mambo mengi sana hasa ukijichanganya kwenye viunga flani flani vya burudani utasikia yanasemwa mazito na usiyoyatagemea, ambapo kwa sasa habari mpya ya mjini ni juu kijana Ernest Napoleon ambae makazi yake nchini Marekani lakini ni mtanzania ambae kwa sasa yupo hapa mjini kwa mapumnziko mafupi. Ernest Napoleon ni staa wa filamu ya Kimataifa ya Going Bongo imeelezwa kuwa kwa sasa anadaiwa kuwa kwenye mahusiano mazito na staa wa Bongo Movie Wema Isack Sepetu hayo yanasemwa na watoto wa mjini wanaofatilia maisha ya mastaa kwa kila kukicha, Gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita ilipita katika kiunga cha starehe cha Maisha Basement maeneo ya Makumbusho na kuzinyaka nyepesi nyepesi hizo toka kwa wadau hao. Vyanzo hivyo vya habari vilieleza baada ya kumuona Ernest Napoleon akiingia na ndinga ya kinyamwezi VOUGE yenye namba za usajili CBK 859 katika viunga vya Club hiyo huku gari hiyo ikiwa na vioo tinted ya ukweli ambayo hata ukisogea jirani huwezi kuona kilichopo ndani lakini watu wataalam bwana walipenyeza macho na kuona bint mrembo ambae wengi walisema alihisiwa ni Wema Sepetu. Hata hivyo paparazi wetu ambae baada ya kusikia minong'ono hiyo alikurupuka toka ndani nusura ateleze kwenye ngazi ndefu zilizopo kwenye Club hiyo iliyopo chini kabisa na kusogea karibu ili nae asipitwe na taarifa hizo na na kushuhudia gari hiyo yenye thamani ikiwa ikiwa inanguruma zaidi ya masaa manne bila watu kushuka. Habari zaidi juu ya tukio hilo zilieleza kuwa gari hiyo iliingia maeneo hayo majira ya saa tatu usiku hadi saa saba usiku baadae Ernest Napoleon alishuka na kuelekea mahara wanapouza chakula ndani ya Club hiyo na baadae alirejea na kuingia tena ndani ya gari kisha iliondoka na kuelekea maeneo ya Mikocheni kupitia zilizpo ofisi za Mlimani Tv. Baada ya tuki hilo mmoja wa watu wa karibu na Ernest Napoleon alimwambia mwaandishi wetu kuwa msanii huyo yupo kwenye mahusiano ya karibu na Wema Sepetu bila kufafanua ni uhusiano upi haswa waliokuwa wasanii hao wenye jinsia mbili tofauti, hiyo imekuja baada ya Ernest Napoleon kung'ara na filamu yake ya Going Bongo ambayo hadi sasa imeshaoneshwa zaidi ya nchi saba Duniani zikiwemo nchi ya China, Ujerumani, Uturuki, Marekani, Uingereza, Kenya na nchi nyinginezo ikiwemo Nigeria. Aidha habari nyingine toka kwa vyanzo vyetu vya habari vilisema kuwa mastaa wengi wa kike hasa wa bongo movie wamekuwa wakipigana vikumbo kuwa karibu na msanii huyo tangu siku filamu hiyo iipooneshwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania huko Zanzibar na kufanikiwa kuchukua tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki na kati, mastaa hao waliotajwa kujiweka karibu ni Lulu Michael,Joketi Kidoti, Irene Uwoya, Jackline Wolper na Dvj Penniel ambae kwa muda mrefu alikuwa mafichoni toka abwage manyanga kwenye kituo cha E-fm Radio 93.7 alichokuwa anatangaza. Joketi na Ernest Napoleon walianza kutia shaka toka siku ilipooneshwa filamu hiyo kwenye ZIFF, Kidoti alishindwa kujizuia ambapo mara ya kumalizika filamu hiyo alimfuata Ernest na kumkumbatia pamoja na kumbusu kiasi cha kuwashtua watu huku akimpongeza msanii huyo kwa kazi nzuri ya kimataifa lakini cha zaidi Kidoti alimwambia Ernest kuwa hakuamini kama filamu hiyo imeigizwa na mtanzania kutokana na kuwa na hadhi ya juu sana na kwa haraka mtu huwezi huwezi amini. Gazeti hili lilianza kumtafuta Ernest Napoleon kupitia simu yake ya kiganjani ili kuthibitisha madai hayo yote juu ya mahusiano hayo ambapo alipatikana na kuelezea ukweli wa mambo na swali la kwanza lilikuwa kutaka kujua mahusiano yake na Wema yakoje jibu lake ni hili " Kaka mbona mimi sielewi unamaanisha nini? kwani mimi namfahamu Wema kama wewe unavyomfahamu si vinginevyo" Alijibu Ernest, Lakini gazeti hili pia liliuliza kama mtu aliyekuwa nae usiku pale Club ndani ya gari alikuwa nani majibu mengine. Msanii huyo alicharuka na kuwa mkali kama hivi " Sasa huo ni unafiki kwani nyie mliniona nae wapi na mnauhakika gani kama yule alikuwa ni Wema hayo majungu mimi nilikuwa na mtu mwingine lakini siyo Wema" Alijibu Ernest na kukata simu hata alipopigiwa simu tena mara ya pili na kuulizwa kuhusu madai ya ukaribu na mastaa wa bongo movie wa kike alisema kuwa ukaribu aliokuwa nao ni kujadiliana kuhusu sanaa ya bongo namna watakavyoifikisha kimataifa huku akisema Dvj Penniel ambae siye muigizaji yeye alikuwa na mishe nae mambo ya kazi sio sanaa wala mambo mengine wanayofikiria watu Credit:Maskanibongotz Make $35 per hour : http://bit.ly/elance_web

Make $35 per hour : http://bit.ly/elance_web

No comments:

Post a Comment