TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, July 18, 2015

KHA JAMANI: KUMBE MAAFANDE WALIOTIMULIWA KAZI WAOANA KABISA YADAIWA MKE NI MJAMZITO TAYARI...!



Maafande Kitengo cha Usalama Barabarani waliotimulia kazi wakiwa kwenye mahaba mazito kazini kiasi cha kuchanganyikiwa  imedaiwa kumbe wameamua kuoana huku wakijikita kwenye biashara huko Mkoani Bukoba. Habari zaidi zilisema kuwa mwanamke huyo amenasa ujauzito kwani hivi karibuni ameonekana akitafuna mbilimbi mara kwa mara.

ITIZAME DEMO YA FILAMU YA WAKE UP YA MSANII MANAIKI SANGA ILIYOSHEHENI WASANII ZAIDI YA 30. MOVIE HIYO INATARAJIA KUTOKA MWANZONI MWA MWEZI WA NANE.

No comments:

Post a Comment