TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, March 19, 2015

SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AZIDI KUITINGISHA NCHI YA KONGO, MAAJABU YAKE YAMSHTUA RAIS KABILA...!

Mwandishi Wetu- Bukavu Kijana wa Kitanzania aitwae Shekh Sharif Khamis ambaye kwa sasa yupo nchini Kongo ameendelea kufanya maajabu ya kutisha kiasi cha kushangaza dunia. Shekh Sharif Khamis ambae historia yake alianza kuongea akiwa na umri wa mwka mmoja ambae pia ni mzaliwa wa Mkoani Dodoma Wilaya ya Kondoa na amekuwa akizunguzuka dunia kwa mialiko mbalimbali lakini kwa sasa yupo nchini Kongo kwa muda ambako huko amekuwa akiendelea na dua kiasi cha kuitwa na waasi ili awaombee amani ya nchi hiyo ipatikane. Maajabu ya kijana huyo yamepelekea hata rais Joseph Kabila kupata taarifa za kijana huyo na kumpongeza kwa juhudi zake za kuleta amani nchini humo pia na kuhimiza wananchi kuwa karibu na mungu.
NCHI YA KONGO YAMVULIA KOFIA SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA, RASI JOSEPH KABILA AMPONGEZA RAIS KIKWETE...! Posted by maskani bongo at 11:23 PM SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AMBAE KWA SASA YUKO NCHINI KONGO KWA AJILI YA DUA MAELFU YA WANANCHI NCHINI KONGO WAKIMSIKILIZA SHEKH SHARIF HAYUPO PICHANI MWENYEJI WA SHEKH SHARIF NCHINI KONGO AKIWA TAYARI KUMKJARIBISHA KIJANA HUYO MTENDA MAAJABU SHEKH SHARIF AKIWA KWENYE HISIA ZA KUOMBA DUA MBALIMBALI ILI WANANCHI WAPATE UPONYAJI Na Mwandishi Wetu- Bukavu Kijana wa Kitanzania aitwae Shekh Sharif Khamis ambaye kwa sasa yupo nchini Kongo ameendelea kufanya maajabu ya kutisha kiasi cha kushangaza dunia. Shekh Sharif Khamis ambae historia yake alianza kuongea akiwa na umri wa mwka mmoja ambae pia ni mzaliwa wa Mkoani Dodoma Wilaya ya Kondoa na amekuwa akizunguzuka dunia kwa mialiko mbalimbali lakini kwa sasa yupo nchini Kongo kwa muda ambako huko amekuwa akiendelea na dua kiasi cha kuitwa na waasi ili awaombee amani ya nchi hiyo ipatikane. Maajabu ya kijana huyo yamepelekea hata rais Joseph Kabila kupata taarifa za kijana huyo na kumpongeza kwa juhudi zake za kuleta amani nchini humo pia na kuhimiza wananchi kuwa karibu na mungu. Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt

Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt

No comments:

Post a Comment