TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, January 12, 2015

FILAMU MPYA YA MANAIKI SANGA YULE BINGWA WA NGONO DUNIANI YAANZA KUWAPA HOMA MASHABIKI WA BONGO MOVIE...!


 Posted by maskani bongo at 12:47 AM Manaiki Sanga akiwa na Irene Uwoya ndani ya filamu mpya ya Wake Up inayofananishwa na Expendables ya Kimarekani, filamu hiyo imewshirikisha wasanii mastaa zaidi ya 36 pamoja.  Moja vipande vya filamu hiyo ya Wake Up kama iliavyoonekana   King Manaiki Sanga akiwa amezungukwa na watoto wazuri yote haya yanapatikana ndani ya filamu yake. Na Sakina Mahamood wa Maskanibongotz Filamu mpya ya msanii Manaiki Sanga iitwayo Wake Up iliyowashrikisha mastaa zaidi ya 36 pamoja imeanza kuwa gumnzo mitaani huku mashabiki wakiisubiri kwa hamu kubwa na wakitamani itoke haraka ili wapate nakala. Wasanii walioshiriki filamu hiyo  ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi,  Hemed Kavu “HK”  kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B,   akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.   Akiongea na gazeti hili muongozaji filamu hiyo Leah Richard Mwendamseke “Lamata” Alisema kuwa filamu hiyo ambayo maandalizi yake yamemaliza miezi sita hadi kukamilika kuigizwa kwake huku akimpa wakati mgumu kutokana na wingi wa mastaa hao ambao haikuwa rahisi kuwaweka pamoja muda wote huo. Aidha nae msemaji wa Manaiki Sanga, Bw Livingstone Mkoi alisema" Tunaendelea kupokea simu za makampuni mbalimbali zinazojihusisha na usambazaji filamu lakini tatizo hawafiki kiwango cha dau kinachoendana na filamu yetu" Alisema 

No comments:

Post a Comment