TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, January 1, 2015

Executive: FILAMU MPYA YA MANAIKI SANGA YATIKISA NCHI, AWAKUTANISHA MASTAA ZAIDI YA 30 INAITWA WAKE UP ICHEKI HAPA...!

 Mastaa mbalimbali kama wanavyoonekana wakiwa Location kwenye filamu hiyo mpya ya msanii Manaiki Sanga the Don iitwayo Wake Up , Zaidi ya wasanii 30 Mastaa wameshiriki kucheza
 Mzee Majuto akiwa kazini na wasanii wengine ndani ya Wake Up.
Mastaa nyota wa filamu nchini Irene Uwoya na Hemed Suleiman kama wanavyoonekana wakiigiza filamu hiyo ya Wake Up huko Mkoani Morogoro
Jackline Wolper vs Irine Uwoya ambao wamechuana vikali ndani ya filamu hiyo ya Wake Up ya msanii Manaiki Sanga " The Don"

Wasanii Kajalia Masanja na mwenzake wakikamua ndani ya filamu ya Wake Up, ambapo kulikuwa na upinzani mkali sana wakati wa kuigiza ili kila mtu asionekane kucheza ndani ya kiwango.

No comments:

Post a Comment