TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, January 26, 2015

DUH, KUMBE BODIGADI WA DIAMOND MTU HATARI NI KOMANDOO WA MAPIGANO ALIFUNDISHWA NA JESHI LA IRAN YADAIWA ANAUWEZO WA KUPAMBANA NA WATU 10 KWA WAKATI 1. MASKANIBONGOTZ INAKUPA MCHONGO..!












 Posted by maskani bongo at 7:17 AM Bodigadi wa Diamond Mwarabu Seleman Mirundi akifanya mazoezi ya kikomandoo kwenye msitu wa chuo kikuu kuhofia watu wasione mazoezi yake. maskanibongotz Juu picha za wanajeshi wa Irani ambao pia ni makomandoo ambao awefanyanao mazoezi. maskanibongotz Hapa Mwarabu akiwajibika kumlinda boss wake nchini Burundi. maskanibongotz Ndani ya filamu hii ya Expendables ya Tanzania iitwayo Wake Up ya msanii Manaiki Sanga  pia ameshiriki bodigadi huyu wa Diamond ameshiriki  Mwarabu Seleman Mirundi akiwa nchini Iran hivi karibuni alipokwenda kwa mara ya kwanza kushiriki michezo ya mapigano ya hatari ambayo hufanywa na wanajeshi hasa walifuvu ukomandoo. maskanibongotz Mwarabu Seleman Mirundi akiwa nyuma ya bendera ya Tanzania tayari kupambana na Komandoo wa Iran ambae hata hivyo alimchakaza vibaya na kuokolewa raundi ya kwanzamaskanibongotz Hiki ni cheti alichotunukiwa nchini Iraq baada ya kumsambaratisha Komandoo wa nchi hiyo ambae hakumtaja jina.maskanibongotz Hiki pia cheti alichotunukiwa na nchini Mozambique baada ya kuwatandika wanajeshi kadhaa nchini humomaskanibongotz Mwarabu akifanya mazoezi mepesi na mmoja wa maofisa usalama wa nchini Tanzania maskanibongotz Kazi kazi  Na Sakina Shabani wa maskanibongotz Jamaa huyu hakuwa anafahamika sana hata kwenye matamasha mbalimbali ulikuwa huwezi kumkuta lakini baada ya kupata kazi ya kumlinda staa wa Bongo Flava nchini Naseeb Abdul Diamond alianza kujulikana zaidi huku watu wakimchukulia kama mtu wa kawaida sana kama mabaunsa wengine. Jina lake harisi anaitwa Mwarabu Suleiman Mirundi huyu maskanibongotz baada ya kupata taarifa za kuwa huyu jamaa si mtu wa kawaida kwenye jamii ilifanyajitihada za kumtafuta huku kupatikana kwake huwa ni kwa nadra sana huwezi kumkuta mitaani kama tuwaonavyo mabaunsa wengine wanazurura mitaani. Maskanibongotz baada ya kutonywa sehemu anapoweza kupatikana kijana huyo ambapo ni msitu wa chuo kikuu ndiko anakofanyia mazoezi mara nyingi akiwa na mwanamuziki na bondia Zora D ndipo nilipofunga safari hadi huko na kumkuta kijana huyo akifanya mazoezi ya hatari kuyaona. Mwarabu alianza kuelezea ingawa hakupenda watu wajue kama yeye ni mtu wa aina hiyo lakini alianza kufunguka kama ifuatavyo " Dada mimi ni Komandoo lakini sio wa JWTZ hapana nimefuvu mazoezi haya ya mapigano nchini Iran toka mwaka 2010 baada ya kwenda kule kuchgeza mchezo wa kutumia mabavu ndipo niliposhinda kwa kumchakaza vibaya Komandoo wa Iran" Alisema Mwarabu Baada ya hapo Jeshi la nchi hiyo baada ya kumuona sio mtu wa kawaida kuwa raia wa kawaida ndipo alipochukuliwa Kambini humo kwa ajir ya kufanya mazoezi hayo ya hatari duniani hadi mwaka juzi 2013 ndipo walipompatia cheti cha kuhitimu kama kinavyoonekana pichani. Hata hivyo Mwarabu anasema kwa jinsi alivyo na mazoezi aliyoyapata chini ya watu kumi hatakiwi kupigana nao hata wakija na shoka isipokuwa zaidi ya hapo ndipo kidogo atawapiga makofi tu na kuwaacha lakini sio aseme atoe kichapo kwani pigo lake moja mtu anabadilishwa jina mara moja na kuitwa marehemu. Mwarabu ambae kwa sasa ameajiriwa na mwanamuziki Diamond na analipwa mshara mnono kwa kazi ya kumlinda ambapo hadi sasa  amenunua viwanja kadhaa na ujenzi unaendelea na si nyumba za kitoto huku akiwa na usafari zaidi ya gari tatu ambapo moja boss wake alimnunulia na mbili amenunua kwa mshahara anaomlipa na hadi sasa anakafikisha kilo 190 wastani wa kilo 200. Lakini pia bodigadi huyo ambae pia ameshiriki filamu ya Expendables ya Tanzania ya msanii Manaiki Sanga ambae kabla ya kutua kwa Diamond aliwahi kumlinda Manaiki Sanga Wasanii walioshiriki filamu hiyo ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.Credit: maskanibongotz 

Sunday, January 25, 2015

WABUNGE NCHINI TAIWAN WAKUMBUKA WALIVYOCHAPANA NDANI YA BUNGE ZAIDI YA MASAA SITA BILA MTU KUTOKA NJE, ANGALIA TULIO HILI KWA PICHA HAPA...!

Hapa Spika wa bunge alitolewa meno yote ya mbele kwa ngumi moja tu na kuzimia

MSHIRIKI WA FILAMU YA EXPENDABLES YA TANZANIA YA MSANII MANAIKI SANGA AJITOA UFAHAMU NA KURUSHA PICHA ZA AIBU KWENYE MTANDAO AKIFANYA NGONO NI MSANII CHIPUKIZI...!

Mshiriki wa filamu ya Wake Up ya msanii Manaiki Sanga akiwa kwenye picha ya mahaba na boyfriend wake ambae haonekan pichani mrembo huyu ambae anaefahamika kwa jina la Zuu ameonesha kipaji cha hali ya juu kwenye filamu hiyo ambayo kwa sasa imeshatua mikononi mwa Steps Entertainments.
Filamu hiyo iliywashirikisha wasanii zaidi ya 36 Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.Credit: maskanibongotz
Wasanii walioshiriki filamu hiyo ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.Credit: maskanibongotz Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Tuesday, January 20, 2015

INASIKITISHA: MAITI YA DADA HUYU MTANZANIA YAKAA MOCHWARI MWAKA MMOJA NA NUSU HUKO CHINA, TAHADHAL YATOLEWA KWA WASICHANA WANAOENDA HUKO...!


\

VILIO, majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, Habiba Yusuph Ally (24) aliyefariki dunia kwa kubakwa nchini China miezi nane iliyopita.

Mwili wa Habiba Yusuph Ally (24) ukiwa katika jeneza eneo la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Tukio hilo linaweka historia ya kusikitisha kwenye familia ya mzee Yusuph Ally kwa kuwa na msiba miezi nane wakati mwili wa binti yake ukiwa mochwari nchini humo baada ya kifo chake.

Habiba Yusuph Ally enzi za uhai wake.
KWA NINI MIEZI NANE?
Akizungumza na Uwazi kwa masikitiko makubwa, baba wa marehemu alisema kilichosababisha maiti ya binti yake ikae mochwari kwa muda wote huo ni utafutaji wa fedha kuwa mgumu lakini hatimaye Watanzania waishio nchini humo walifanikisha na kuuleta kwa ndege ya Shirika la Ndege la Emirates.

Mwili wa Habiba Yusuph Ally ukichukuliwa kutoka uwanja wa ndege.
ALICHOKIONA BABA CHAMSHTUA
Mara baada ya mwili huo kuwasili, kilifika kipengele cha kufunuliwa ili baba mzazi amtambue marehemu ambapo zoezi hilo lilimshtua mzee huyo kufuatia kuuona uso wa mwanaye ukiwa na majeraha kibao huku tumbo likiwa limeshonwa. Ilidaiwa ulifanyiwa uchunguzi.

MWILI WAPELEKWA NYUMBANI
Baada ya hapo, mwili huo ulipekekwa nyumbani kwa mzee Yusuph kwa ajili ya kuagwa na siku iliyofuata, Agosti 8, mwaka huu ukazikwa kwenye Makaburi ya Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu, Habiba Yusuph Ally ukipakiwa kwenye gari .
HABIBA ALIVYOKUFA
Katika gazeti ndugu na hili, Ijumaa Wikienda Toleo la Februari 24, mwaka huu liliandika habari ya kubakwa kwa Habiba hadi kufariki dunia. Habari hiyo ilikuwa na kichwa cha habari kilichosomeka; MBONGO ABAKWA CHINA, AFA! Kwa mujibu wa baba, Habiba alibakwa Januari 18, mwaka huu.

Maelezo ya habari hiyo yaliyotolewa na rafiki wa karibu wa Habiba aitwaye Saada yalisema siku ya tukio, marehemu alikutana na Mnigeria mmoja ambaye walipatana kulala wote kwa usiku mzima.
Alisema kumbe Mnaigeria huyo alikuwa na wenzake wanne. Usiku walimwingilia wote kwa nguvu mpaka akapoteza maisha palepale. Ulikuwa ukatili mkubwa.

Watu hao walipogundua Habiba amefariki dunia  waliuchukua mwili wake na kuutupa chini kutoka ghorofa ya tano walikokuwa wamempeleka kulala naye.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani.
Habari zaidi zilidai kuwa madaktari waliokuwa wakiuchunguza mwili wa Habiba waligundua haukuwa na figo na moyo jambo lililozidi kuzua hofu juu ya mauaji yake.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mzee Yusuph juzi, Wanigeria hao walikamatwa na jeshi la polisi nchini humo na kufikishwa mahakamani kwa kudaiwa kuua.

Alisema mara baada ya kifo, polisi nchini humo waliizua maiti yake kwa muda ili kupisha upelelezi zaidi na baada ya kukamilika ndipo Watanzania walioko huko wakaanzisha mchango wa fedha kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania, China na kuusafirisha mwili wake.
MBONGO AONGEA
Uwazi lilibahatika kuzungumza kwa simu na Mtanzania anayeishi kwenye Mji wa Guangzhou nchini China (jina tunalo) ambaye alidai nguvu kubwa ilitumika kuchangishana fedha ili kuuleta Bongo mwili wa marehemu Habiba.

Masheikh wakiuswalia mwili wa Habiba kwa safari yake ya mwisho.
ATOA USHAURI
Mbongo huyo anayefanya biashara nchini humo alitoa ushauri kwa Watanzania wenye ndugu China kuwa makini nao kwa vile wengi wakifa, kama hakuna moyo wa kuchangiana huzikwa na taasisi zinazosimamia kazi hizo lakini ikibainika kuwa kuna michango inayoendelea, mwili unaweza kuwekwa mochwari hata miaka miwili.

HISTORIA YA MAREHEMU HABIBA
Marehemu Habiba aliondoka Bongo kwenda China mwaka 2010 akiwa na miaka 19 akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kiluvya, Kinondoni, Dar kufuatia kurubuniwa na mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Chausiku.

Vijana wakiushusha mwili wa Habiba kaburini.
Kwa mujibu wa baba wa marehemu, marehemu Habiba alikuwa mtoto wa tano kati ya saba, aliondoka nchini na mwanamke huyo bila kumwambia ndugu yeyote.
“Alirubuniwa na huyo Chausiku kwamba anakwenda kufanya kazi saluni lakini alipofika kule akamwingiza mwanangu kwenye biashara ya ukahaba. Hata hao waliombaka walimpata kwenye biashara hiyo,” alisema baba wa marehemu.

Wakati wa Mazishi ya Habiba.
Akaongeza: “Sisi tukiwa hatujui alipo, miezi minne ilipita akampigia simu mama yake na kumwambia yupo Dubai anafanya kazi, tulipochunguza namba ilionesha yupo China, tukaambiwa huwa hawatakiwi kusema ukweli wa sehemu walipo.”
BIASHARA ILIVYO
Uchunguzi unaonesha kuwa, mawakala wanaosafirisha wasichana wa Kibongo kwenda China, Dubai au India, wakifika, huwanyang’anya hati zao za kusafiria ili washindwe kuondoka nchini humo na kushinikizwa kujiuza (ukahaba) huku wao mawakala wakipokea fedha kutoka kwa wateja.

Uchunguzi unaonesha wasichana hao hurejeshewa hati zao baada ya malipo ya kiasi cha Dola za Marekani 8,000 (kama shilingi milioni 12).

Marehemu Habiba Yusuph Ally (kushoto) wakati akiwa shule.
Wengi wakishaachiwa hushindwa kurejea Bongo na kujikuta wakiendelea kuuza miili katika mahoteli na klabu huku wakikutana na majanga mbalimbali.

MR NICE AMSHUKURU DOKTA KAMDEGE KWA KUMRUDISHA KWENYE USTAA, ASEMA BILA YEYE HAKIKA ALIKUWA ANAPOTEA..!










Na Amina Abdul- Dodoma
Mwanamuziki aliyekuwa mfalme wa mtindo wa Tekeu nchini Lucas Mkenda Mr Nice ameibuka na kushukuru sana mganga wa mastaa nchini Dokta Kamdege kwa kumsafisha na sasa ameanza kurudi kwa kasi kubwa kileleni.
Akiongea na mtandao huu Mr Nice alisema kuwa binadamu si watu wema hata kidogo kwani walikuwa wamemchezea faulo kubwa sana katika maisha yake licha ya kwamba kuna mengine yeye mwenyewe alichezea maisha.
Mr Nice alisema kuwa dawa za Dokta Kamdege za miti shamba zimemuondoa nuksi na sasa angalau ameanza kuondokana na aibu iliyokuwa inamkuta" Kaka Dokta Kamdege sio masihara hizi miti shamba zake zimenisaidia wala sina haja ya kuficha jambo kwani wanaokwenda kwa mganga huyo ni wengi tu kama mimi hivyo kuficha jambo hilo si vyema" Alisema Mr Nice ambae alikuwa mume wa msanii Jini Kabula
Akiongea na mtandao huu toka Tabora Mganga huyo aliyejichukulia umaarufu mkubwa nchini na nje ya nchi kupitia simu namba
0788-844490 alisema" Huduma zangu si kwa mastaa tu peke yao na viongozi wetu wa vyama na Serikali hapana hata wananchi wa kawaida tu kwani matatizo si kwa viongozi au mastaa hata wewe ndugu mwandishi ukihitaji tunakupiga msasa mambo yanaenda sawa miti shamba haidanganyi" Alisema
Mganga huyo alisema mambo mbalimbali anayowasaidia watu ni pamoja kupata mtoto, kupunguza makali ya kesio, kupandishwa cheo ofisini, kuipa nguvu biashara yako iwe kubwa na ya kuvutia, kupata mke au mume kutoa ganzi za mikononi na miguuni kupandisha nyota zilizochezewa na wabaya hayo tote anayafanyakutumia miti shamba si kitu kingine.
0788-844490 Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

JESHI LA POLISI LAWATANGAZIA KIAMA WASAGAJI WOTE, LAWATIA MBARONI WAREMBO HAWA SAUTI ZA MAHABA ZAWAKAMATISHA..!



DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015  wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Warembo, Maua Sadick (mwenye shati la draft) na Lucy Fred wakipozi kimahaba.
Warembo hao walikamatwa Januari 12, mwaka huu saa sita mchana, nyumbani kwa Maua wakidaiwa kufanya ngono kinyume cha sheria ya kujamiiana ambapo watu wa jinsia moja ni makosa kukutana kimwili.
NDUGU, MAJIRANI WAKERWA
Kwa mujibu wa habari za kipolisi, kukamatwa kwa Maua kulitokana na taarifa za baadhi ya ndugu na majirani zilizopelekwa polisi kwamba, wasichana hao wanapokuwa kwenye tendo la ndoa wamekuwa wakipiga kelele za udhalilishaji kwa familia zao.

Wasichana hao wakiwa maeneo tofauti.
WALISHAONYWA, HAWAKUSIKIA
Vyanzo makini kutoka jirani na makazi ya Maua vinadai kuwa, kutokana na hali hiyo, baadhi ya watu walijitolea kuwaonya wasichana hao kuwa na staha wawapo kwenye faragha yao lakini pia wao ni wanawake haiwezekani wacheze mchezo huo wenyewe kwa wenyewe lakini hawakutaka kusikia.

MAJIRANI WAFUNGULIA REDIO SAUTI YA JUU
“Ilifika mahali wakiingia chumbani kuanza mambo yao sisi majirani tunazidisha sauti za redio ili watoto wasisikie lakini na wao sauti zao zinakuwa juu kushinda za redio,” alisema jirani mmoja akiomba jina lake lifichwe ili kukwepa uhasama.

Alisema kutokana na hali hiyo waliamua kufikisha habari hizo polisi kwani ni kinyume cha sheria watu wa jinsia mmoja kukutana kimapenzi.
Mrembo Lucy Fred ambaye ni mpenzi wa Maua Sadick.
HISTORIA YA LUCY
Wakizidi kuzungumza na Uwazi, majirani hao walisema, Lucy ambaye ndiye anaitwa mke na Maua amekuwa akitoka nyumbani kwa wazazi wake Karakata kwa lengo la kumfuata Maua.

SIKU YA TUKIO
Ilisemekana kuwa, siku ya tukio, majirani walipoanza kusikia ‘zile sauti zao’, waliwapa polisi namba ya simu ya mtu wa jirani na Maua kwa lengo la kusaidia kufika nyumbani hapo.

“Polisi walipofika waligonga mlango kwa muda mrefu bila kufunguliwa na kelele za mahaba zilizidi kusikika.  Baadaye, nadhani wakati wanapumzika sasa, Maua alifungua mlango mkubwa na kukutana na macho ya polisi, wakambana na kumtaka waende wote alipo Lucy, wakaenda chumbani na kumkuta.
“Pia polisi walikuta kidude ambacho huwashwa kwa betri kilichodaiwa pia hutumika wakati wa tendo,” kilisema chanzo.

Warembo hao kama wanavyoonekana kwenye picha zao za instagram.
HISTORIA YA MAUA
Maua ni binti ambaye ni yatima, amekuwa akiishi mwenyewe kwenye nyumba hiyo kubwa ya familia  hivyo kumwita Lucy mara kwa mara kwa madai ya kufanya ufuska huo kwa vile wana uhuru.
Inasemekana kuwa, Maua siku zote amekuwa akivaa mavazi ya kiume licha ya kwamba, ni mwanamke kamili.

POLISI WASHANGAA
Taarifa kutoka vyanzo vya ndani ya jeshi la polisi zinadai kwamba, hata wakiwa mahabusu ya kituo hicho, wawili  hao wamekuwa wakioneshana mapenzi baina yao kitendo kilichowashangaza mahabusu wengine na polisi pia.

Uwazi lilifika nyumbani kwa Maua na kukutana na mdogo wake aitwaye Aziz ambaye alikiri kukamatwa kwa Maua na kwamba tangu akamatwe hajarudi na wala hajui kinachoendelea huku akisema asingependa kuzungumzia suala hilo kwa sababu ya kutupiwa lawama na wanandugu kwamba yeye ndiye aliyepeleka taarifa polisi.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, SACP Mary Nzuki.
“Mimi sikai hapa, nimefika hivi karibuni nikitokea mkoani. Ndugu wananituhumu mimi kuita polisi, sijui mtu aliyewapa askari namba yangu wakanipigia kama  wageni wanaokuja nyumbani, nikawapa ramani na walipofika ndipo nikagundua ni askari,” alisema Aziz.
Mwenyekiti wa  Serikali ya Mtaa, George Mtambalike alipohojiwa na gazeti hili ofisini kwake alithibitisha kukamatwa kwa wasichana hao kwa madai ya kufanya mapenzi ya jinsia moja na aliwatembelea Kituo cha Polisi cha Stakishari.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, SACP Mary Nzuki alikiri kukamatwa kwao na akasema uchunguzi unaendelea.

WEZI WA KAZI ZA WASANII WAICHUKIZA MIMBA YA AUNT EZEKIEL AMPONGEZA MANAIKI SANGA KWA KUANDAA FILAMU YA EXPENDABLES YA TANZANIA ...!


Msanii wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.

WAKATI mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto akidai kutoshiriki kazi na msanii yeyote kutokana na kuibiwa, msanii mwenzake, Aunty Ezekiel amechukizwa na uamuzi huo.

Akizungumza na Uwazi, Aunty alisema kuwa haamini kama wezi wa kazi zake ndiyo chanzo cha Majuto kuachana na filamu za kushirikishwa bali inawezekana kuna tatizo lake lingine.
Mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto.
“Suala la wezi lipo miaka mingi na kama mkongwe na mpenda maendeleo alitakiwa kusimama maana kila mmoja akisema achukue uamuzi kama huo ni wazi kwamba kutakuwa hakuna msanii tena Tanzania,” alisema.
Hata hivyo katika hatua nyingine msanii Aunt Ezekiel amempongeza msanii Manaiki Sanga kwa kuandaa filamu kubwa na ya kwanza tanzania kushiriki mastaa wengi. Filamu hiyo imewashirikisha wasanii hawa rene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi,  Hemed Kavu “HK”  kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B,   akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.   

Monday, January 12, 2015

FILAMU MPYA YA MANAIKI SANGA YULE BINGWA WA NGONO DUNIANI YAANZA KUWAPA HOMA MASHABIKI WA BONGO MOVIE...!


 Posted by maskani bongo at 12:47 AM Manaiki Sanga akiwa na Irene Uwoya ndani ya filamu mpya ya Wake Up inayofananishwa na Expendables ya Kimarekani, filamu hiyo imewshirikisha wasanii mastaa zaidi ya 36 pamoja.  Moja vipande vya filamu hiyo ya Wake Up kama iliavyoonekana   King Manaiki Sanga akiwa amezungukwa na watoto wazuri yote haya yanapatikana ndani ya filamu yake. Na Sakina Mahamood wa Maskanibongotz Filamu mpya ya msanii Manaiki Sanga iitwayo Wake Up iliyowashrikisha mastaa zaidi ya 36 pamoja imeanza kuwa gumnzo mitaani huku mashabiki wakiisubiri kwa hamu kubwa na wakitamani itoke haraka ili wapate nakala. Wasanii walioshiriki filamu hiyo  ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi,  Hemed Kavu “HK”  kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B,   akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.   Akiongea na gazeti hili muongozaji filamu hiyo Leah Richard Mwendamseke “Lamata” Alisema kuwa filamu hiyo ambayo maandalizi yake yamemaliza miezi sita hadi kukamilika kuigizwa kwake huku akimpa wakati mgumu kutokana na wingi wa mastaa hao ambao haikuwa rahisi kuwaweka pamoja muda wote huo. Aidha nae msemaji wa Manaiki Sanga, Bw Livingstone Mkoi alisema" Tunaendelea kupokea simu za makampuni mbalimbali zinazojihusisha na usambazaji filamu lakini tatizo hawafiki kiwango cha dau kinachoendana na filamu yetu" Alisema 

NEW AUDIO : DREAM AMECHELEWA

Wimbo umetayarishwa katika studio za Vipaji Tz
Artist Dream
song Amechelewa
produced by Abbah

unaweza kusikiliza na kudonwload hapa





Friday, January 9, 2015

MMH, MAKUBWA: WEMA SEPETU, IRENE UWOYA, JB, MZEE MAJUTO NA JACKLINE WOLPER WAMTETEA MANAIKI SANGA KUHUSU PICHA ZA UCHI....!











Wasanii mbalimbali wanaunda kundi la Bongo Movie nchini ambao wameshiriki kwenye filamu ya msanii Manaiki Sanga iitwayo Wake Up wamemtetea msanii mwenzao kuhusu kashfa ya picha za uchi alizowahi kupiga miaka ya nyuma. Wakiongea na gazeti hili hivi karibuni wakati wakiigiza filamu hiyo iliyowashirikisha zaidi ya wasanii 36 walisema kuwa binadamu wote wanatakiwa kusahau madhambi ya mtu kwa vile yalishapita ni vyema watu wakaangalia ya sasa na yajayo. Wasanii hao ambao ambao kila mmoja aliongea jinsi anavyoona lakini kila mmoja alionekana kumtetea Manaiki kwa tukio alilowahi kulifanya. Mmoja wasanii hao ambae nae ni mshiriki ni Jackline Wolper baada ya kuulizwa na mwandishi wetu anazungumzia matukio ya ukatili ya msanii huyo kwa wanawake aliyowahi kuafanya ambapo alijisema “ Kiukweli Manaiki aliwahi kuteleza kama ambavyo angeweza kuteleza binadamu mwingine au mimi na wewe hivyo ni vyema tuka sahau hayo tusiendelee kumuhukumu Manaiki kwa madhambi yaliyopita si vizuri” Alisema Wolper Aidha nae Irene Uwoya ambae aliwahi kutuhumiwa kutembea na Manaiki yeye alisema hivi “ Ndugu yangu mimi upande wangu naweza kusema kuwa jamii inapaswa kumsamehe Manaiki sisi sote ni binadamu na tunakosea ni vyema tukasahau yaliyopita tayari picha ziko mitandaoni na kama anavyoeleza mwenyewe alipoteza Computer yake na kulikuwa na picha zake za sili” Alisema Uwoya Mzee Majuto ambae ni swahiba mkubwa wa Manaiki alisema “Mwanangu binadamu hatujakamilika Manaiki si kijana mbaya ndiyo maaa unaona wasanii wote hawa tunampa sapoti amekuwa na ushirikiana na wenzake sana, kuhusu hizo picha ni jambo la kusahau kwa vile lilishapita tugange yajayo watanzania subirini kuipokea filamu yake mpya inaitwayo Wake Up ambayo ni kama zawadi kwa watanzania” Alisema msanii huyo mkongwe Kajala Masanja ambae kwa sasa wameingia mkataba na Manaiki kwa ajili ya kufanya kazi pamoja yeye upande wake alisema “ Ni kweli kati ya watu walioumia sana kuona zile picha ni mimi Manaiki ni kama mdogo wangu ndiyo maana nimeamua kumchukua na kuwa nae pamoja na kumuweka sawa kisaikolojia kwa vile tayari zile picha zilikuwa zimemuathiri “ Alisema Kajala Wasanii karibia wote walioshiriki filamu hiyo yaExpendables ya Tanzania iitwayo Wake Up iliwashirikisha wasanii zaidi ya thelathini na sita huku iliongozwa na Lamata na kushutiwa na kampuni ya Manaiki Production iliyopo Itumbi Hotel. Wasanii walioshiriki filamu hiyo ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi.

Copy and WIN : http://bit.ly/co---
jjPosted by maskani bongo at 10:36 PM Wasanii mbalimbali wanaunda kundi la Bongo Movie nchini ambao wameshiriki kwenye filamu ya msanii Manaiki Sanga iitwayo Wake Up wamemtetea msanii mwenzao kuhusu kashfa ya picha za uchi alizowahi kupiga miaka ya nyuma. Wakiongea na gazeti hili hivi karibuni wakati wakiigiza filamu hiyo iliyowashirikisha zaidi ya wasanii 36 walisema kuwa binadamu wote wanatakiwa kusahau madhambi ya mtu kwa vile yalishapita ni vyema watu wakaangalia ya sasa na yajayo. Wasanii hao ambao ambao kila mmoja aliongea jinsi anavyoona lakini kila mmoja alionekana kumtetea Manaiki kwa tukio alilowahi kulifanya. Mmoja wasanii hao ambae nae ni mshiriki ni Jackline Wolper baada ya kuulizwa na mwandishi wetu anazungumzia matukio ya ukatili ya msanii huyo kwa wanawake aliyowahi kuafanya ambapo alijisema “ Kiukweli Manaiki aliwahi kuteleza kama ambavyo angeweza kuteleza binadamu mwingine au mimi na wewe hivyo ni vyema tuka sahau hayo tusiendelee kumuhukumu Manaiki kwa madhambi yaliyopita si vizuri” Alisema Wolper Aidha nae Irene Uwoya ambae aliwahi kutuhumiwa kutembea na Manaiki yeye alisema hivi “ Ndugu yangu mimi upande wangu naweza kusema kuwa jamii inapaswa kumsamehe Manaiki sisi sote ni binadamu na tunakosea ni vyema tukasahau yaliyopita tayari picha ziko mitandaoni na kama anavyoeleza mwenyewe alipoteza Computer yake na kulikuwa na picha zake za sili” Alisema Uwoya Mzee Majuto ambae ni swahiba mkubwa wa Manaiki alisema “Mwanangu binadamu hatujakamilika Manaiki si kijana mbaya ndiyo maaa unaona wasanii wote hawa tunampa sapoti amekuwa na ushirikiana na wenzake sana, kuhusu hizo picha ni jambo la kusahau kwa vile lilishapita tugange yajayo watanzania subirini kuipokea filamu yake mpya inaitwayo Wake Up ambayo ni kama zawadi kwa watanzania” Alisema msanii huyo mkongwe Kajala Masanja ambae kwa sasa wameingia mkataba na Manaiki kwa ajili ya kufanya kazi pamoja yeye upande wake alisema “ Ni kweli kati ya watu walioumia sana kuona zile picha ni mimi Manaiki ni kama mdogo wangu ndiyo maana nimeamua kumchukua na kuwa nae pamoja na kumuweka sawa kisaikolojia kwa vile tayari zile picha zilikuwa zimemuathiri “ Alisema Kajala Wasanii karibia wote walioshiriki filamu hiyo yaExpendables ya Tanzania iitwayo Wake Up iliwashirikisha wasanii zaidi ya thelathini na sita huku iliongozwa na Lamata na kushutiwa na kampuni ya Manaiki Production iliyopo Itumbi Hotel. Wasanii walioshiriki filamu hiyo ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi. Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_w
Posted by maskani bongo at 10:36 PM Wasanii mbalimbali wanaunda kundi la Bongo Movie nchini ambao wameshiriki kwenye filamu ya msanii Manaiki Sanga iitwayo Wake Up wamemtetea msanii mwenzao kuhusu kashfa ya picha za uchi alizowahi kupiga miaka ya nyuma. Wakiongea na gazeti hili hivi karibuni wakati wakiigiza filamu hiyo iliyowashirikisha zaidi ya wasanii 36 walisema kuwa binadamu wote wanatakiwa kusahau madhambi ya mtu kwa vile yalishapita ni vyema watu wakaangalia ya sasa na yajayo. Wasanii hao ambao ambao kila mmoja aliongea jinsi anavyoona lakini kila mmoja alionekana kumtetea Manaiki kwa tukio alilowahi kulifanya. Mmoja wasanii hao ambae nae ni mshiriki ni Jackline Wolper baada ya kuulizwa na mwandishi wetu anazungumzia matukio ya ukatili ya msanii huyo kwa wanawake aliyowahi kuafanya ambapo alijisema “ Kiukweli Manaiki aliwahi kuteleza kama ambavyo angeweza kuteleza binadamu mwingine au mimi na wewe hivyo ni vyema tuka sahau hayo tusiendelee kumuhukumu Manaiki kwa madhambi yaliyopita si vizuri” Alisema Wolper Aidha nae Irene Uwoya ambae aliwahi kutuhumiwa kutembea na Manaiki yeye alisema hivi “ Ndugu yangu mimi upande wangu naweza kusema kuwa jamii inapaswa kumsamehe Manaiki sisi sote ni binadamu na tunakosea ni vyema tukasahau yaliyopita tayari picha ziko mitandaoni na kama anavyoeleza mwenyewe alipoteza Computer yake na kulikuwa na picha zake za sili” Alisema Uwoya Mzee Majuto ambae ni swahiba mkubwa wa Manaiki alisema “Mwanangu binadamu hatujakamilika Manaiki si kijana mbaya ndiyo maaa unaona wasanii wote hawa tunampa sapoti amekuwa na ushirikiana na wenzake sana, kuhusu hizo picha ni jambo la kusahau kwa vile lilishapita tugange yajayo watanzania subirini kuipokea filamu yake mpya inaitwayo Wake Up ambayo ni kama zawadi kwa watanzania” Alisema msanii huyo mkongwe Kajala Masanja ambae kwa sasa wameingia mkataba na Manaiki kwa ajili ya kufanya kazi pamoja yeye upande wake alisema “ Ni kweli kati ya watu walioumia sana kuona zile picha ni mimi Manaiki ni kama mdogo wangu ndiyo maana nimeamua kumchukua na kuwa nae pamoja na kumuweka sawa kisaikolojia kwa vile tayari zile picha zilikuwa zimemuathiri “ Alisema Kajala Wasanii karibia wote walioshiriki filamu hiyo yaExpendables ya Tanzania iitwayo Wake Up iliwashirikisha wasanii zaidi ya thelathini na sita huku iliongozwa na Lamata na kushutiwa na kampuni ya Manaiki Production iliyopo Itumbi Hotel. Wasanii walioshiriki filamu hiyo ya Wake Up ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo, Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, Tracy Moshi, Hemed Kavu “HK” kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B, Kiss, Juta B, akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo na wengine wengi. Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win