Mch. Jaerry, akisalimia na mwandishi wa E-FM RADIO Bw Livingtone Mkoi
Na Mwandishi
Wetu
Nabii wa
Kanisa la Holly Ghost Fire lililopo Mbezi Juu – Kwa Temba
ameendelea kuwa gumzo jijini Dar kwa miujizo anayoitenda kwa kuwaombea wagonjwa
ambao wanapona Live bila King’amuzi.
Vyombo
mbalimbali vya habari ukiwemo mtandao
huu vilishuhudia maajabu ya nabii huyo anaejulikana kwa jina Jeremiah Lukiko “
Mzee wa Fire” vilishuhudia muujiza
miujiza mbalimbali ya kuwaponya watu wenye ukoma pamoja magonjwa sugu
yote.
Kanisa hilo
ambalo licha ya kuwa change lakini maelfu yaw a waumini wamekuwa wakimiminika
kwa ajili ya kupata huduma bora ya maombi yaliyojaa upako wa ajabu toka kwa
mtumishi huyo wa Mungu natayari watu wengi wameanza kuhama makanisa mengi na
kukimbia kwake kwa ajili ya kuponywa magonjwa yao.
Akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya ibada kumaliza mwishoni mwa juma Mchungaji
huyo alisema” Hii ni miujiza ya kutisha Mungu anatenda kazi yake hapa hatuna
mzaha na suala la uponyaji hapa hata ukija mgonjwa umebebwa kwenye machera
haraka tu moto unafanya kazi yake hivyo natoa uwito kwa watanzania sasa waache
kuteseka Mungu amewaleta mkombozi hata
kama wamehangauika namna gani na magonjwa lakini hapa kwangu ni mwisho waje na
Mungu atawaponya kwa maombi yangu na kwa uharaka zaidi” Alisema Nabii Jarry
Mtumishi
huyo alitoa uwito kwa wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji vyake kuacha kuteseka
na maradhi, au wasiogope nguvu za kichawi, au chuma ulete na wale wenye
umaskini wa kurithi pamoja na laana ya kurithi wafike Kanisani kwake
awashughulike kwake ni kazi ndogo hiyo maombi pekee yanaweza kubadilisha maisha
ya mtu kwa dakika kadhaa.
Na ratiba
zinaanza kila siku za Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, ni saa kumi
jino na Jumapili ibada inaanza saa tatu
asubuhi hasi saa saba mchana na kwa wale wenye mahitaji ya maombi wapige namba
ya huduma 0713-976786