TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, September 27, 2014

MGANGA WA MASTAA NCHINI ACHAFUA HALI YA HEWA NCHINI KOREA, MAPROFESA WACHANGANYIKIWA KWA MITI SHAMBA ZAKE, KWA NINI UPOTEZE MAISHA KWA MAGONJWA YANAYOTIBIKA? SOMA HAPA ...!


 Baadhi ya dawa za miti shamba za Dokta Kamdege ambazo zimechukuliwa Wakorea kisha kufanyiwa majaribio ya magonjwa mbalimbali na kuonekana zinafaa kwa asilimia mia.
Madaktari bingwa nchini Korea wakifanyia utafiti miti shamba  za Dokta Kamdege
 Baadhi ya dawa za miti shamba za Dokta Kamdege
 Dokta Kamdege akiwa ofisini kwake.
Na Mwandishi Wetu
Yule mganga mashuhuri nchini Tanzania na Dunia nzima amaendelea kuitangaza vyema bendera ya Taifa nchini baada ya dawa zake za miti shamba kuonekana balaa kwa kutibu magonjwa sugu.
Akiongea na mtandao huu Dokta Kamdege ambae kwa sasa yupo Jijini Dar maeneo ya Jet alisema" Ni  taarifa njema kwa taifa letu miti shamba zangu zimepokelewa nchini Korea na tayari jopo la Madaktari bingwa pamoja na maprofesa wameanza kuzifanyia uchunguza na tayari kuna mafanikio makubwa" Alisema
 Aidha mganga huyo ambae amkekuwa akitumiwa sana na vigogo wa Serikali pamoja na mastaa nchini amendelea kutoa uwito kwa watanzania kutumia fulsa hiyo ya kumtumia kwani ni nadra sana kwa waganga wengi kufanya mambo kama yake kwani yeye anatibu kutumia miti shamba tu na si vinginevyo hivyo.
Mganga huyo anatibu magonjwa mbalimbali ikiwemo kupata mtoto, kuongeza nguvu za kiume, kuolewa/ kuoa, kuiba baraka biashara, safari, kuzindika biashara yako isingiliwe na chuma ulete, kung'alisha nyota kazini, ama kwenye fani yoyote na mengineo na yote hayo anafanya kwa kutumia miti shamba na sio bla bla tu kama wafanyavyo waganga wengine.
Dokta Kamdege amewasisitiza wale wote wenye matatizo wamcheki haraka kabla hajaondoka nchini na hata kama mtu yupo nje ya nchi amcheki kwa simu namba 0788-844490, 0763-146231 na ataongea nae moja kwa moja

No comments:

Post a Comment