TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, May 3, 2014

KWA TAARIFA HII HAKI YA MUNGU DADA ZETU HAWATOTUMIA TENA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIOA, ANGALIA DADA HUYU MAMBO YALIVYOMGEUKA SAMAHANI PICHA INATISHA..!



Matumizi ya dawa za kuongeza biceps kama sythol huwaletea madhara makubwa hasa wale wanaotumia kukuza misuli yao.
Sisi tunaishi katika ulimwengu ambapo wanawake wanakufa kwa ajili ya ‘uzuri’ , wanawake wanataka midomo iliyo kamili, tako liloumuka , matiti saa sita figure kama la masogange.
lakini ukweli kua wakina dada wanakufa wakitafuta uzuri.wasichana wengi wanakuwa wanajihusisha na madawa aina mbalimbali ili kurekebisha rangi za ngozi zao ama matako yao au chchu zao ila madhara yake ni makubwa sana hasa pale wanapotumia chemical za sumu.
Synthol wakati mwingine kulipuka na makalio yako kuishia kuungua kama hivi
Mwanamke mmoja Apryl Brown alipoteza mikono na miguu yake na matako yake kuungua vibaya yote katika harakati za kusaka uzuri. Hapa ni nyuma yake baada ya silicon kuanza kuchoma moto ngozi yake
Hivyo wanawake na gents , kabla ya kufikiria kujiimarisha mwenyewe , jiulize
Je, uwezekano wa kupoteza miguu na mikono yako kwaajili ya matako 
CREDI: SWAHILITZ

No comments:

Post a Comment