TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, April 21, 2014

MH: IDD AZAN ANAE ATOA MKONO WA PONGEZI KWA RADIO MPYA INAYOPATIKANA MAFASA 93.7 FM DAR ES SALAAM!

 MH; IDD AZANI MBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI AMBAE AMEKUWA CHACHU YA MICHEZO NA BURUDANI NDANI NA NJE YA JIMBO LAKE.
 HAPA WABUNGE IDD AZANA KULIA NA KUSHOTO NI MBUNGE WA KIGOMA ZUBER ZITTO KABWE.
Na Livingstone Mkoi
Mbunge kipenzi cha vijana wengi ndani na nje ya Jimbo lake Mh Idd Azan ametoa pongezi kubwa kwa ujio wa radio mpya ya burudani Tanzania i nayopatikana kwenye masafa ya 93.7 Fm Jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu Idd Azani alisema" Napenda kuwapongeza wamiliki wa kituo hicho kipya cha radio "93.7 fm" kwani itaongeza chachu ya vijana kuonesha vipaji vyao ikilinganisha kuwa muziki na sanaa ni ajira hivyo vijana watumie fulsa hiyo kuchangamkia" Alisema Mh huyo alipotakiwa kuizngumzia radio hiyo mpya inatikisa jiji kwa sasa. 

No comments:

Post a Comment