TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 30, 2014

HARAFU BADO MNASEMA DIAMOND ANAPESA KAZI IPO KWA MSANII RAY ASEMA UTAJIRI WAKE HAKUNA MSANII YEYOTE ANAEMFIKIA TANZANIA ANA BILION KAHDA BANK ZIMEPUMNZIKA..!

Ray
Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe wa filamu au muziki  anayemfikia sema hapendi tu kujitangaza kama baadhi ya mastaa wenzake akidai ni ulimbukeni. "hakuna msanii anayenizidi uwezo kuanzia mali na hata fedha niko mbali sana mimi, hata gari ninalotembelea hakuna msanii aliyenalo kama ingekuwa ni mtu wa kujisifusifu na kutafuta sifa za kijinga jamii ingejua" alisema star huyo wa filamu za Oprah, Sobbing Sound, Hard Price na Handsome Wa Kijiji akizungumza na gazeti moja.
Ray vile vile aliamua kurusha kombora kwa wabaya wake wasiopenda maendeleo yake kwa kusema "wanaongea sana majungu,  fitina na vitu ambavyo havipo kuhusu mimi, mimi ni jembe, kwanini wasiangalie maisha yao? leo msanii unateta nae dakika hiyo hiyo anageuza maneno hayo kuwa majungu, acha nikae peke yangu nifanye issue zangu"
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment