TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, April 17, 2014

DODOMA YAVAMIWA HALI NI MBAYA, MACHANGUDOA TOKA BURUNDI WATIKISA BUNGE LA KATIBA, HAO WANAJUA MAPENZI KAMA MAJINI. ANGALIA HAPA!

 Hapa moja ya machangudoa hayo yakipiga mikwara ya kunyonyoana maziwa ili kuwanasa Wajumbe kwenye moja ya baa zilizojirani na mjengo huo unaolindwa balaa.
Hapa pia wakiwa wamejiachi huku kichochea kwa mwanaume kikiwa kimezunguka kiuno.
Na Sakina Shabani 
Habari mpya zilizotua mezani kwa Xdeejayz Tanzania yenye makao yake makuu Jijini Dar maeneo ya Mwananyamala Komakoma zinasema kuwa wakina dada poa toka burundi wametua nchini Dodoma kwa lengo la kugawa posho na wajumbe wa bunge la katiba ambao wengi wao ni mara ya kwanza kukanyaga mjengoni humo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo mkoani humo kinasema hali si swali kwenye viunga vya mji huo kutokana na ongezeko la wakina dada hao wanadhaniwa kutoka burundi na wamekuwa kwenye mawindo makali kwa kuvaa nguo za kimitego huku wengine wakinyonyona maziwa live iliamradi wanase wajumbe hao wanapokea laki tatu kwa siku ambazo ni nyingi sana.
Hata hivyo licha ya matukio hayo lakini hali ya usalama ni kubwa eneo la kuzunguka bunge ila kwa wale wanenda mitaani kuhangaika ndio hukutana na balaa hilo.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment