TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 30, 2014

AFANDE SELE= RADIO MPYA IMEKUJA KUWAKOMBOA WANYONGE, ATOA UWITO KWA WASANII KUTUMIA FULSA HIYO KUFANYA KWELI..!

Na Livingstone Mkoi
Msanii mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya ameibuka na kusema kuwa ujio waradio mpya 93.7 Fm imekuja kuwakomboa wanyonge waliokuwa wametelekezwa kwa kuksa msaada.
Akiongea na Xdeejayz kwa njia ya simu mwanamuziki huyo ambae yuko Dar kwa sasa akiandaa kazi zake mpya alisema" Kaka naweza kusema ni kama baraka za Mungu tu kuanzishwa kwa radio hiyo wanyonge wamepata mkombozi kwani vijana wengi walishaanza kufanyakazi kwa sababu ya wanyonyaji wa kazi zao hivyo tunaamini 93.7 Fm ndiyo suluhisho letu wanamuziki" Alisema Afande Sele.

No comments:

Post a Comment