TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, March 21, 2014

MCHAWI ALIYENASWA KANISANI USIKU WA MANANE, MGANGA WA MASTAA NCHINI AHUSISHWA AELEZEA KILICHOTOKEA ANGALIA PICHA HAPA..!


Angalia picha za mtu aliyejitambulisha kwa jina la Shabani Hamisi alikuwa akijihusisha na vitendo vya kishirikina, akiwa chini ya wanamaombi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Arusha mara baada ya mtu huyo kukamatwa usiku wa kuamkia leo wakati wa maombi kanisani hapo ambapo ametoa maelezo mbalimbali namna alivyokuwa akishiriki katika vitendo hivyo vya kishirikina.
Shabani akiwa na vitenda kazi vyake akiwa eneo la kanisa.
Akiwa amevua shati huku akiwa anaombewa.
Vitenda kazi vyake vikiwa vimemwagwa chini.

Kazi kwelikweli.
Na Mwandishi Wetu
Kufuatia kudondoka kwa mchawi kwenye viunga vya Kanisa la Ufufuo na Uzima Mkoani Arusha Mganga maarufu wa wasanii nchini pa moja na viongozi ameibuka na kutoa kauri nzito juu ya tukio hilo.
Akiongea na gazeti hili toka Mkoaniu Tabora alikorejea sasa akitokea Bungeni Mkoani Dodoma alikokwenda kukaa siku mbili alisema" Wachawi wengi wanakosea kucheza karibu na mahekaru ya Mungu kwani zile sehemu zinakuwa na utakaso tayari hivyo ni vyema wakatambua hayo kabla ya kuumbuka kama hivi.
Mganga huyo ambae ni bingwa wa miti shamba na anatibu magonjwa mengi ikiwemo ukimwi kwa kupunguza kasi ya vijidudu mwilini huku mambo yote hayo akitumia miti shamba tu.
Aidha Mganga huyo ambae ametokea kujizolea umaarufu mkubwa ndani ya nchi na nje kwa kuwapatia watu wengi mafanikio baada ya kuwatolea nuks, mikosi kisha wengi wamekuwa na mafanikio ya kutosha.
Hata hivyo mganga huyo aliwaomba watanzani kuendelea kumtafuta ili awasaidie kwani siku za kuondoka nchini zinakaribia na na anawasaidia watu hata kama wapo nje ya nchi huko huko aliko atawasawazishia mambo yao na mafanikio watayaona.
ALISEMA KWA ALIYETAY ARI KUSAIDIWA WAMTAFUTE KUPITIA SIMU NAMBA 0788-844490

No comments:

Post a Comment