TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, March 26, 2014

JE UVAAJI CHENI MIGUUNI ZINA UHUSIANO GANI NA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE WADAU WANATAKA MAONI YAKO HAPA NAJUA WEWE NI MZOEFU SANA WA HAYA MAMBO EBU TUPITA MAELEZO YAKO!




Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile, au analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo kwenye urembo huu. 
Je wewe unafahamu vipi kuhusu hilo na je kuna ukweli ndani yake?
Nitupie maoni yako kwenye simu namba 0713-575718, tuma sms tu usibeep pleas..! 

No comments:

Post a Comment