TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, March 19, 2014

SNURA KASHAHARIBU ANASWA KWA SANGOMA AKIWA NA JOGOO MWEKUNDU NA TUNGULI


Msanii maarufu wa bongo fleva Mama wa Majanga Snura aka Snu Sex afanya mambo ya kustajabisha ambayo hayana longo longo wala nini,



Kupitia website yetu ya udaku ya Boss Ngasa tulipata mtonyo kutoka kwa rafiki wa karibu wa snura kuhusu swala la msanii huyu kushiriki ktk swala la ndumba, 

Kutokana na taarifa hizo mtandao huu ilifanya uchunguzi wa kina kwa kumfwatilia Msanii huyu,  ambapo siku ya leo mtego wetu ulinasa kwenye 18 baada Msanii huyo kutinga kwa mganga kwa swaga ambazo hata mtu wake wa karibu ilikuwa vigumu kumtambua, Ila kwa juhudi za matandao huu mpana ulimfumania live snu sex akiwa amebebea Jogoo jekundu akiwasili kwa sangoma na kufanyiwa ndumba

No comments:

Post a Comment