TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, February 5, 2014

MASOGANGE AITIA NAJISI BONGO MOVIE KUNA UWEZEKANO WAKAMTIMULIA MBALI..!

After all stories ku-fade out now ni muda wa Masogange kuingia kazini thou kazi yenyewe imeanza na problems. Fineassgirl kama anavyojiita kwenye instagram ambaye almost kila picha yake kwenye application hii haikosi more than 100 likes kwenda mbele, she was about to make her doubt kwenye movie industry.is a right way kwa Agness “fineass” Masogange kujaribu kutafuta nafasi kwenye movie industry kwasababu kuna video models wengi pande za USA wameweza kufakisha wakianzia kwenye video modeling to movie kama Lauren London.

Bad news ni kwamba bila sababu ya msingi iliyotolewa ni kwamba ilibidi Masogange aigize kwenye movie iliyokuwa inaandaliwa na Nisha Film Company ya actress Nisha lakini the about to be actress haku-show up kwenye location. Sources zinasema kwamba Agnes alikuwa tayari kufanya movie kila kitu hadi mazoezi alifanya na script alipewa lakini hakutokea kwenye location ya movie hiyo. “Labda alikuwa na matatizo yake binafsi ambayo yamemfanya kushindwa kufika location. Kama imekua nje ya uwezo wake kiasi hiki hakuna jinsi kwasababu kila kitu kilikua tayari ameshaanza kifanya mazoezi hadi ya script. Movie hiyo ingeitwa Zena na Betina labda movie nyingine tena lakini hatufanyi naye tena movie hii” – alisema mdau mmoja wa movie hiyo.

"SOMA GAZETI LA MASKANI BONGO KILA SIKU YA JUMATANO"

No comments:

Post a Comment