TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, February 14, 2014

HISTORIA KUJIRUDIA UPYA CLUB MAISHA DODOMA KESHO? LEO NDIYO LEO USIKU WA VALENTINE DAY CLUB DAR HAPATOSHI ZAWADI ZA MAMILIONI KUMWAGWA KWA WATAKAOKUJA MAPEMA WAKIWA NA NGUO NYEKUNDU NI BALAA TUPU..!

 ZUNGU MNYAMA HATAKI MCHEZO NA MTU HAPA AKICHARAZA MAMBO KWENYE MOJA YA SHW ZA XDEEJAAYZ IVE DRUMMER CLUB MAISHA DODOMA MWISHONI MWA MWAKA JANA.


 HAPA MASHABIKI WAKIWA WAMECHANGANYIWA KWA MISUGUA YA DVJ MAJEY KAMA ANAVYOONEKANA.

 MASHABIKI WATU WAZIMA WAKIBURUDIKA BURUDANI ZINAZOPATIKANA NDANI YA CLUB MAISHA DODOMA.


NA LIVINGSTONE MKOI
Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani Jijini Dar hatimae imewadia ambapo leo ndio leo nda ya kiota cha burudani Bongo Club Maisha watashusha bonge show kali toka kwa kundi la Xtreme Deejayz chini ya staili yao mpya nchini ya Xdeejayz live Drummer inayoongozwa na Zungu Mnyama, Hyerman na DJV Majey.
Leo maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji vyake wanatarajia kufurika ndani ya Club Maisha Dar huku wakazi wa mji wa Dodoma kesho ndiyo kesho kwenye after Party ya show ya leo huku zwadi kibao zikitolewa na wahusika wa show hiyo.
'PATA RATIBA ZA CLUB MAISHA DAR, DODOMA, MTWARA, MOROGORO NA DAR NDANI YA GAZETI LAKO PENDWA LA MASKANI BONGO KILA SIKU YA JUMATANO"

No comments:

Post a Comment