unaambiwa
 baadhi wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha Dodoma (Udom) ambao 
wamemaliza mtihani yao jana na wengine leo inasemekana kuna baadhi ya 
madent hao wa kike wamegoma kwenda makwao kwa ajili ya wasanii hawa 
ambao ni kipenzi cha kina dada wengi kufika Dodoma 
  |  
| Gerry wa Rymes |  
 
Inasemekana kuna baadhi ya wanafunzi ambao wamekiri wenyewe kuwa wadhaifu kwa PHD, huku wengine wakizozana wangu Jerry, Mnyetishaji
 wetu ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho ambaye hakupenda jina lake 
litajwe alitutonya kwamba wanafunzi wengi wa kike wanamfagilia sana 
Bishoo PHD Hemedi na kuapia kutokwenda makwao mpaka jumapili hii ambapo 
Hemedi na Jerry wa Rhymes kwa mara yao ya kwanza watafanya show yao pale
 Maisha club Dodoma Jumapili hii ya tarehe 16 kwa kiingilia cha buku 7 
mlangoni. | 
No comments:
Post a Comment