Na Mwandishi wa Xdeejazy Dar
Kijana mmoja asiyefahamika jina lake jana mchana alijikuta akichungulia umauti kufuatia kuchezea kichapo cha mbwa mwizi kwa kosa la uwizi wa simu.
Tukio hilo lililorusha kwenye mtandao mmoja ilieleza jinsi kijana huyo alivyokuwa anawaimbia wananchi mtaani kwao ambako hata hivyo haikufahamika ni mitaa gani.
Wananchi wengi walijikuta wakisema kuwa kwa kipigo kile kijana huyo kama atarudia kumuibia mtu tena basi atakuwa na roho ya chuma si ya wanadamu wa kawaida na huenda hata akiona shilingi mia barabarani haiguzi kwa kuogopa kipigo.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI JUMATANO HII USIKOSE LIKIWA NA HABARI KEMKEM ZILIZOFANYIWA UCHUNGUZI"
No comments:
Post a Comment