TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, January 20, 2014

YAMETIMIA MKOMBOZI WA WANABONGO FLAVA APATIKANA RADIO MPYA HIYO HEWANI, IPO JIJINI DAR MASHABIKI WAISUBIRI KWA HAMU NA KUTOA MAONI YAO..! XDEEJAYZ INAKUPA HIYO

 Moja ya sehemu za Studio ya kisasa ya Radio hiyo itakayokuwa maeneo ya Kawe Jijini Dar.

 Sehemu ya studio hiyo kama inavyoonekana kwa ndani.
  Mashine za studio hiyo kama zinavyoonekana.


 Haya ni moja ya maandalizi tu na sehemu chache za studio hizo zilizotuimia Dola ndefu kuitengeneza.















 Na Livingstone Mkoi
Hatimae wanamuziki wa Tanzania wamepata mkombozi kufuatia kufungulia kwa radio mpya na ya kisasa ambayo itakuwa makao yake makuu Jijini Dar.
Habari za uhakika zilizonaswa na Xdeejayz zinasema kuwa radio hiyo tayari ipo kwenye hatua za mwisho na siku yoyote itakuwa hewani " Ni mapema kutaja jina la redio wala iko chini ya kampuni gani lakini kila kitu kiko sawa maandalizi yote yamekamilika na Serikali imekwishatoa baraka zake kwa ajili kuiruhusu radio hiyo ianze kuitumikia jamii kwa ajili ya ujenzi wa taifa na kukuza tasnia hii ya habari" Alisema mmoja wa viongozi wa radio hiyo
Radio hiyo ambayo imekaa kiburudani zaidi licha ya kwamba itajumuisha kutoa taarifa za kila aina kama vile michezo, habari pamoja na vipindi vingine vya kijamii.
Hata hivyo kwa habari zaidi kuhusina na tukio hilo la kushtua kwa watanzani watazipata ndani ya gazeti la Maskani Bongo litakalokuwa mtaani kila  Jumatano.

No comments:

Post a Comment