TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, January 19, 2014

WATANGAZAJI CHIPUKIZI WAZUSHA BALAA KWENYE OFISI ZA CTN JIJINI DAR!

 Mratibu wa Shindano la Round Show kupitia Televisheni ya CTN ambayo kwa sasa imerudi kwa kasi kubwa kwa kutizamwa na mamiloni ya watanzania Jijini Dar.

 Meza Juu ya Majaji wakiwa tayari kuongoza shindano hilo ili kupatikana  mshindi.
Washiriki wa shindao hilo wakiwa sehemu maalum ya mapokezi kabla ya kuingia kwenye Interview Room.

Na Livingstone Mkoi
Lile shindano la kumtafuta mtangazaji bora chipukizi kupitia kuto cha Runinga cha CTN lilijulikana kama Round Show limefanyika lakini haikuwa nzuri upande wa majaji kutokana na vijana wengi kuonesha vipaji vya hali juu.
Mratibu wa shindano hilo Elisha Odada alisema " Kwa kweli imetuchanganya sana kuona vijana wanaonesha vipaji namna hii kwani haikuwa kazi rahisi kwa kuwapata washindi kutokana na washiriki wote zaidi ya 150 kuwa na sifa sawa" Alisema Odada
Hata hivyo mratibu huyo amesema watazamaji wote wa CTN waendelea kufatilia shindano hilo kupitia gazeti la Maskani Bongo na CTN ambao watakuwa wanawaleta maendeleo ya shindano hilo " GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA SIKU YA JUMATANO"

No comments:

Post a Comment