TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, January 18, 2014

LADY JAY DEE KIBOKO, AFIKISHA MASHABIKI LAKI MBILI KWENYE MTANDAO WA FB, AWAPATIA ZAWADI ...!

Hatimae imefikia idadi ya 200,000, (laki mbili) 
Kila mtu ambae yupo kwenye hii page anastahili kupata hii nafasi ila sababu watu laki 2 hatuwezi kwenda dinner wote kwa pamoja naomba nitaje wachache waliobahatika, watawawakilisha na wengine. 
Nimeona badala ya watu kumi niongeze wengine wanne wamekuwa 14...(Bonus) 
Nashukuru kwa kuendelea ku like page yangu.
1. GENI GENI
2. OBADIA USWEGE
3. MARTIN WAFUALA
4. FRANK NYABILI
5. POPE RAY MBISHI
6. MSAFIRI MSAMI
7. EDWIN EMMANUEL
8. QUADRAH CHARITY
9. ALVEEH CHELSEA BLAQ
10. HASHYME MDETY
11. PATRICK KAPUS KASIRIM
12. STANLEY MCHOME
13. PROSPER DAUD
14. FJ JUMA
Mta inbox namba zenu za simu, ili muweze kupatiwa utaratibu wa jinsi gani mialoko itawafikia... Hongereni na tutaonana Valentines Day
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIPO MTAANI KILA JUMATANO USIKOSE KOPI YAKO"

No comments:

Post a Comment