TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, January 16, 2014

RICH MAVOCO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI MSIBA UKO MOROGORO




 



 
mavoko
Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.
Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.
Pole sana Rich Mavoko kwa taarifa tu msiba uko kwao morogoro alipofia baba yake na kuzika ni kesho saa 10 huko huko morogoro, taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapa kupitia

No comments:

Post a Comment