Mwanafunzi wa Chuo Kimoja maarufu mkoani Iringa akiwa kwenye picha ya uchi anayodaiwa kupigwa na wazungu walipotembele mbugani.
Na Mwandishi wa Xdeejayz Iringa
Katika hali ya aibu baazi ya dada zetu wasiokuwa na maadili wameendelea kujidhalilisha ambapo msichana mwingine ambae anasoma chuo kimoja maarufu mkoani Iringa kurusha picha zake za utupu kwenye mtanda. Xdeejayz mzigoni
Habari za uhakika zilizonaswa na mtandao huu hatari kwa umbea wa Xdeejayz zilisema kuwa msichana huyo ambae hakufahamika mara moja jina lake lakini inadaiwa anasoma chuo kimoja maarufu mkoani humo chenye jina la mto mmoja unaounganisha mikoa kadhaa.
Habari zaid zilisema kuwa picha hiyo ilipigwa mbugani wakati mdada huyo ambae inasemekana anamchumbaake mzungu na ndiye aliyefanya kazi hiyo ya kutandika picha kabla ya kusambaa mitandaoni.
" GAZETI LA MASKANI BONGO NDIYO HABARI YA MJINI KWA SASA USIKOSE KOPI YAKO KILA JUMATANO"
No comments:
Post a Comment