TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, January 21, 2014

MWANAMUZIKI AYLER AOMBA MUNGU ASIKUTANE NA FUSKA MANAIKI SANGA “THE DON” !

 Baadhi ya wanawake walikumbwa na kashfa ya Manaiki Sanga "The Don" ni mrembo aliyefahamika kwa jina la Asnat Msangi


Mwanamuziki Irene Peter "Ayler akiwa kwenye picha ya pozi.


NA Livingstone Mkoi
Mwanamuziki chipukizi anaekimbiza Bongo kwa sasa Irene Peter  maarufu kwa jina la Ayler amefunguka na kuweka wazi namna anavyomuogopa Manaiki Sanga “ The Don” kama ugonjwa wa ukoma.
Akiongea na Xdeejayz Ayler ambae kwa sasa anatingisha nchi wa wimbo wake wa Msamaha ambao unapigwa sana kwenye vituo vya redio na tv alisema “ Kiukweli Manaiki Sanga ni mwanaume wa ajabu sana nan i katili naomba Mungu nisije kukutana nae hata kwa kushikana mikono maana naona nitakuja kuzimia hapo hapo” Alisema Ayler
Hata hivyo mwanamuziki huyo aliendelea kueleza kuwa amekuwa akiumia kila siku akishuhudia mamia ya wanawake waliodhalilishwa na Manaiki kupitia mitandao na kujichukulia kama ni yeye pia yumo kwenye huo mtandao hivyo amekuwa akiomba Mungu sana kutokukutana na Manaiki Sanga hata kwa kumuona uso wake live kwani huenda anaweza hata kuzimia.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KESHO JUMATANO USIKOSE KOPI YAKO MAPEMA" 

No comments:

Post a Comment