TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, January 21, 2014

MWANAUME AFA AJALINI AKIWA NA KIMADA, ALIMUAGA MKEWE ANAKWENDA KUSALIMIA NDUGU, KIMADA ACHANGANYIKIWA ISHU KUVUJA..! XDEEJAYZ INAKUPA LIVE

 

Habari toka Mkoani  Singida zinasema watu 13 waliofariki dunia baada ya kutokea ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani humo kumbe mmoja wa watu waliofariki alikuwa ni mume wa mtu ambae alikuwa anakwenda kula bata na nyumba ndogo.

Habari zinasema ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Noah na lori watu hao wakiwemo na kwa mujibu wa shuhuda wetu ambae alipiga simu kwenye ofisi za Xdeejayz na kueleza wawili walikuwa wanasaliti ndoa zao.
 "KWA HABARI ZAIDI USIKOSE KUFATILIA GAZETI LA MASKANI BONGO"

No comments:

Post a Comment