TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, January 13, 2014

MAPESHEE WAUA BAA YA AUNT EZEKEILE, AJUTU KUZALIWA , XDEEJAYZ INAKUPA YA MOTO HIYO!!


Aunt Ezekiel.

PUB iliyoibuka kwa muda mchache na kukamata ‘taito’ kubwa Bongo ya mwigizaji Aunt Ezekiel, Demonte imefungwa ghafla,
haitoi huduma tena.Imedaiwa kuwa, pub hiyo iliyopo maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar, imefungwa kutokana na mhusika kushindwa kuiendesha.
“Imefungwa, nasikia gharama za vinywaji na wafanyakazi aliowaajiri zilikuwa juu akaona bora afunge,” alisema rafiki wa Aunt aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Aidha sababu nyingine ilielezwa kuwa mapedeshee wamechangia kuidondosha baa hiyo kwa kukopa vinywaji vya zaidi ya lakini saba lakini baadae wanakawia kurudisha.
"KAMA WEWE UNATAFUTA KAZI HII IN AKUHUSU CLUB MAISHA YAMWAGA AJIRA KIBAO, SOMA MAENEKEZE KWENYE BLOG HII ILI NEEMA IKUDONDOKEE"

No comments:

Post a Comment