TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 30, 2013

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAKICHEZA BAO LA KETE HADHARANI


YALIOJILI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA CHIDY BENZI

Chidy akimlisha keki joketi

 Hapa akimlisha keki moja kati ya mafuns wake katika siku yake zakuzaliwa

 Totozzilikuwa zaukweli na zakumwaga

 Makiss na ma hug yalihusika sana siku hiyooooo

 Hii hapa keki ya king kong chidy beeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenz

 Hapa alikuwa anatangaza mwenyewe birthday yake na kuwalisha watru wake.

 Hapa sasa wakati wa mikono mfululu dongo moja baada ya lengineeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 Dj eddo master aliwakilisha kama kawa upande wa v,i.p

Mtoto esther katikati akiwa na marafiki zake waliwakilisha kama kawa.

WAREMBO WA ARUSHA WALIVYOPAGAWISHA WACHEZAJI WA TIMU YA DAR LEOPARD CLUB YA DAR!


 Hapa dada aliyefahamika kwa jina Grace ambae ni mwanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari Arusha akijiachia mbele ya wachezaji wa timu ya Dar Leopard na  Rino's ya Jijini humo sherehe hizo zilizofanyika kwenye ukumbi wa TGM
 Hapa watoto wazuri wakijiachia ukumbini
  Hapa watoto wazuri wakijiachia ukumbini
 Hapa watoto wazuri wakijiachia ukumbini

Picha zote na mwandishi wetu aliyekuwepo kwenye msafara wa timu ya Dar Leopard FC

MWANAMUZIKI DIAMOND ATABIRIWA MWISHO WAKE UMEFIKA!

Mwanamuziki Diamond akiwa kwenye picha ya pozi.

Na Livingstone Mkoi aliyekuwa Arusha

Mashabiki mbalimbali wa mwanamuziki nyota wa nchini Diamond wameonesha wasi wasi wao kuwa huenda siku za kutamba mwanamuziki huyo zinahesabika kutokana na wimbo wake alioutoa hivi karibuni kuwa mbovu ile mbaya.

Wakiongea Xdeejayz mashabiki hao wanaoishi Arusha mjini walisema kuwa" Hakika acheni usemi wa wahenga utimie kuwa Ngoma ikivuma sana mwishowe lazima ipasuke huu wimbo wa Mapenzi Basi wa Diamond hamana kitu kabisa awali tulishindwa kuamini kama ni yeye kaiba au alikuwa ameshirikishwa" Alisema dada mmoja aliyejitaja kwa jina la Grace

Aidha mashabiki hao waliendelea kuweka wazi hisia zao kna kusema Diamond kwa sasa anatakiwa kujipanga kwa ajili ya kufanya mambo mengine kwani dalili hizo ni mbaya kwa wanamuziki hasa wanapokuwa maarufu kama yeye kwani wameshuhudia mwengi tu mfano kama Mr Nice, Dudubaya, Juma Nature nk ambao enzi zao walikuwa kama Diamond huku kila nyimbo wanazotoa zilikuwa juu lakini baadae walianza kutoa nyimbo mbaya mfano wa hii ya Mapenzi Basi.


Monday, April 29, 2013

XTREME PICTURE OF THE DAY


HUYU HAPA KIBOKO YA DOGO ASLAY MFATILIE UJUE ZAIDI

Kwa jina anajulikana kama DOGO NGWANGI mkali wa kuimba kila haina ya muziki unaokubalika
Anatokea kwenye REC LEBO ya FIRE MUSIC 
Amepiga ngoma yake moja kali sana inaitwa BWII ameimba yeye kama yeye hajamshirikisha mtu.
Chini ya producer MORE FIRE
Jumamosi iliyopita alisikika kwa mara ya kwanza katika kipindi cha bongo fleva cha CLOUDS FM 
kinachoendeshwa na ADAM MCHOMVU kila aliesikia kipindi iko alisikika kwa kusema huyu ndio kiboko na DOGO ASLAY NA DOGO JANJA.
Kama unavyomuona muonekano wake katika picha ndivyo alivyo,Mdogo wa umri lakini mkubwa wa mistari 

Kaa tayari kusikia mengi kutoka kwake soon.ameshaachia ngoma yake ya BWII  iko mtaani tayari kuachia kesho tutaipata kwenye mitandao mbali mbali.XTREME DEEJAYZ INAMKARIBISHA DOGO NGWANGI KWENYE GAME.

PHOTOS : Concert Kubwa Ya Jose Chameleone #BADILISHALIVECONCERT Iliyofanyika Jijini Kampala, UGANDA ... Ona Vazi Aliloingia Nalo Kwenye Jukwaa

 

Hivi ndivyo Jose Chameleone alivyokuwa amevaa ... ni kama ametoka kwenye Mwezi na kutua jukwaani ... It was amazing !!!
Profesa Jay Akipiga Show @ The Kyadondo Rugby Groundz ...
Redsan [KENYA] ...

Mtoto wa kiume wa JOSE CHAMELEONE akipiga Gitaa Jukwaani ... Like Father Like Son ... #BadilishaLiveConcert

Thursday, April 25, 2013

WACHEKI HAPA NOMINEES WOTE WA KILI AWARDS 2013 NA CATEGORIES ZAO










PICHA: KUTANGAZWA KWA NOMINEES WA KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013
No comments:

Majina ya wasanii wa muziki Tanzania ambao wameweza kuingia katika kinyang'anyiro cha tuzo za muziki za Kilimanjaro,  yametangtazwa rasmi jijini Dar es Salaam tayari kabisa kwa kuanza mchakato wa kushindanishwa kwa ajili ya kufahamu washindi ambao watakua wasanii bora kwa mujibu wa tuzo hizo kwa mwaka huu.

Katika mchakato wa mwaka huu na kama hatua moja ya maboresho yake, Vipengelea ambavyo vitakuwa vikishindaniwa mwaka huu vimeongezeka na kufikia 35.

Tuzo za Kilimanjaro Music zitafanyika kwa mwaka huu tarehe 8 Mwezi Juni katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, na katika kipindi hiki cha kati hatua zitakazofuata ni pamoja na Semina kwa wasanii na Upigaji kura ambao utaanza Mei tarehe 2.

Tatianna akimoderate shughuli nzima
Meneja wa Kinywaji cha Kilimanjaro, George Kavishe
Mwakilishi kutoka Innovet akikabidhi list ya Nominees kwa mwakilishi wa Baraza la Sanaa Tanzania, Bwana Angelo Luhala.
Orodha ikionyeshwa kwa waandishi wa Habari

Bwana Angelo Luhala kutoka BASATA akisoma list ya Nominees.

MUONEKANO MPYA WA T-PAIN BAHADA YA KUKATA NYWELE ZAKE






Wednesday, April 24, 2013

ALICHOKISEMA SHABAHA KUHUSU TUZO ZA KILI NA WACHAGUZI WA NOMINIES

Aliyekuwa meneja wa msanii sheta kabla ya kujitowa katika kundi la Dar Stahmina  anayejulikana kwa jina la Shabaha amefunguka na kuzungumza na HYPER HK kuhusu Malalamiko yako  juu ya mtu mwenye jukumu la kuwachagua watu wakwenda kuchagua washiriki wa TUZO za KILI MUSIC AWARD akiongea na mwandishi wetu alisema anaona asilimia kubwa wanaokwenda kwenye hizo academi zao ni watangazaji na wauza sura mjini hapa ambao wengi wao wanawasanii wao na mara zote kwenye hizo tuzo uvutia kwao ndio mana kila mwaka hakukosi malalamiko kwenye hizo TUZO. Aliendelea kusema kuwa yeye akiwa kama mtunzi wa nyimbo ambazo zilihit na kufanya vizuri ikiwemo NIMECHOKWA BWEGE MTOZENI na MDANANDA Pia ni msimamizi wa kazi za wasanii mbalimbali kwa muda mrefu sana katika game hii ya muziki wa bongo fleva. swali lake linakwenda moja kwa moja kwenye uongozi wa KILI MUSIC AWARDS kwamba wale watu wanaopangwa kuja kuchagua nominies wana sifa gani?  na je niwafatiliaji wa muziki na wanaujua muziki vizuri na nyimbo zilizokubalika kweli kwenye jamii?au kwavile ana jina tu la utangazaji apewe nafasi hiyo? na ni nani anaowachagua hao watu wanawachagua nominies?

"NIMEAMBUKIZA UKIMWI MAELFU YA WATU JIJINI DAR"...JANE WA MWENGE



Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao.

Nilizaliwa mkoa wa Dodoma na nilishi vizuri tu tangu utotoni na hata sikujihusisha na ngono hadi nilipomaliza form 4 mwaka 2006 baada ya kumaliza nilikuja hapa Dar kuishi kwa mama mdogo aliyeolewa hapa Mwenge.

Nilipata marafiki wengi tu na kuna kijana mmoja alinitongoza kwa muda mrefu sana na siunajua vijana wengi hutumia muda mrefu kutongoza ili msichana unadhani kwamba labda huyo anakupenda kumbe anataka tu ngono na wadada wengi sana hudhani kufuatiliwa kwa muda mrefu na mvulana basi huyo yuko serious kumbe hakuna lolote.

Nilimkubalia tukawa wapenzi ila nilikataa kuhusu kufanya mapenzi maana anayekupenda kiukweli sio uongo lazima asitake ngono kabla ya ndoa.

Kwa miezi kama 5 hadi 6 aliniambia kuhusu kufanya mapenzi nilikataa alitumia mbinu nyingi sana kwa kunibembeleza na hata kulia mbele yangu ili tufanye tu mara moja ila nilikataa, alisema atavumilia hadi siku ya ndoa yetu ambapo tulipanga kuoana mwaka sept 2009.

Siku moja aliniambia twende kwenye kumbi za starehe na mimi kwa sababu ya upagani na kumwamini pia kwa sababu nampenda nilikubali tulienda huko na kulikua na bendi fulani maarufu ya mziki wa dansi ilikua inatumbuiza.

Tulitafuta sehemu na kukaa na mpenzi wangu akaagiza pombe alianza kunywa huku akinionjesha, nilikataa kwa sababu nilikua sijawahi kunywa pombe katika maisha yangu yote, hata sijui alinishawishi vipi nilijikuta nakunywa kidogo kidogo na kwa kuwa tulikaa pale kwa muda zaidi ya masaa 5 nadhani nikunywa kama bia 3 au 4 japokua nilikua nakunywa kidogo kidogo tu tena kwa kunywesha na mpenzi wangu maana nikama nikua nanyweshwa kila baada kama ya dakika 25 ndipo nakunywa mara moja na sikujuia kama nakunywa pombe ila niliihisi tu naonja ili kumlizisha mpenzi wangu.

Ilipofika saa 10 alfajiri nilihisi usingizi na pia nilijiona wa tofauti najua nililewa hata kama sikujua kama nimelewa maana nakumbuka tulitoka pale huku amenishika mkono huyo mpenzi wangu. Tulikodo tax na kuondoka na siku hiyo aliniambia twende kwake alikokua amepanga chumba maana tulikua na usingizi sana nilikubali huku nikidhani hatuwezi kufanya mapenzi.

Tulifika salama na kuingia ndani ukweli pombe ni kichocheo cha ngono na ningekua mimi ndio Raisi wa Tanzania ningefunga bar zote. Nilijikuta natamani kufanya mapenzi na huyu mpenzi wangu hata alikua hana nia maana alijua atanichukiza sana na uhusiano ungekufa siku hiyo lakini kwa sababu ya pombe nilimwambia siku hiyo tufanye kidogo maana mwili wangu unataka.

Ni kweli siku hiyo kwa sababu ya pombe nilifanya mapenzi na huyo mpenzi wangu na baadae akanipeleka nyumbani baada ya wiki mbili maana tulikaa wiki mbili bila kuonana alikuja na kunieleza habari ambayo sikuihitaji katika maisha yangu maana nilikua nasikia tu kwa watu wengine lakini sio kwangu alisema ”JANE ISHI KWA MATUMAINI KUANZIA SASA”

Nilidhani utani lakini aliniambia kuwa yeye ana UKIMWI tangu miaka mitano iliyopita na anapenda tu ngono maana hawezi kuacha.

Nililia sana na baada ya wiki moja baadae nikaenda kupima na kukutwa nina ugojwa ambao niliusikia tu kwa watu na chanzo cha yote ni pombe, kupenda starehe,disko na upagani unaotusumbua wanadamu wengi.

Nilikua na UKIMWI na kwa hasira maana mpenzi wangu alihamia Arusha huku akisema neno moja la mwisho kwamba ”shetani amemtuma kuwaambukiza wanadamu UKIMWI”

Sikujua, sikujua, sikujua, sikujuaaaaaaaaa, basi tu ooh YESU nihurumie mimi leo.Nilibebeshwa mzigo ambao haukunistahili mimi. Hata leo hua najiuliza kwamba nilijitunza kwa miaka 23 yote lakini pombe na huyu wakala wa shetani wamenifanyia hivi. Baada ya kujua nina UKIMWI na hali hiyo nikaikubali na kulikua na kundi kubwa sana la wanaume ambao walikua wamewahi kunitongoja na niliwakataa sana kwa sababu hii niliwakubali ili nami nife na wengi.

Nilianza kumkubali kila mmoja na kuna baba mmoja ambaye ana wake 3 niliwahi kumtukana sana kipindi cha nyuma kila aliponitongoza lakini wakati huu nilimkubali na hakuamini na tukafanya ngono tena bila kinga na akaniaachia pesa laki 6 kama zawadi ya kumkubali kumbe naye hakujua kuwa namwambukiza na hata leo hua nawahurumia tu wale wake zake ambao wana UKIMWI uliotoka kwangu.

Kiukweli tangu may 2009 hadi 2012 nimeshatembea na wanaume zaidi 1500 maana ilifika kipindi nala na wanaume 3 kwa siku na lengo langu niwakomeshe kama mimi nilivyokomeshwa na nina uhakika kutokana na mimi wameambukizwa UKIMWI wanadamu zaidi ya 10,000 na hili tangazo la ”TUKO WANGAPI” huwa linaniliza kila siku maana hata mimi najua kabisa nilianzisha mtandao kama huo wa ngono kwa idadi kubwa sana ya watu.

Nimeokoka miezi 7 iliyopita na siku naombewa nilikutwa na mapepo mengi sana na hata waombeaji wakashangaa. Ningejua ningeokoka tangu nikiwa na miaka 5 lakini ndio hivyo sina jinsi wala uwezo wa kubadirisha hali hiyo.

Na naomba kila atakayesoma ujumbe huu ajue kuanzia leo kuwa pombe ni dhambi pia kwenda disko ni dhambi,kuuza pombe ni dhambi na kila kichochoe chochote cha dhambi ni dhambi. Hadi sasa mtu yeyote hawezi kujua kama nina UKIMWI na sijui MUNGU ana mpango gani na mimi maana kwake yote yanawezekana. Nauamini uponyaji wake na sijawahi kutumia ARV hata siku moja na afya yangu iko sawa tu na huwezi hata wewe kujua kama uovu huu nimefanya mimi.

Ndugu zangu kama una UKIMWI nenda kanisani ukaombewe na kama una akili mpe YESU maisha yako maana pia baada ya kifo ni hukumu. Yasalimishe maisha yako kwa YESU na usiambukize wengine tena.

Mimi tangu niokoke sijawahi kufanya mapenzi tena na sitafanya hivyo wala sitaolewa na mtu yeyote maana yatosha kwa uovu niliofanya na hadi sasa wapo ninaowajua zaidi ya 15 wameshafariki na nilihudhulia misibani huku nikijua kabisa chanzo ni mimi.

Mwisho nawashauli wababa kulidhika na wake zao na wamama pia lidhikeni na waume zenu, vijana ambao hamjaoa wala kuolewa subiri hadi utakapooa au kuolewa na kabla ya kuolewa au kuoa kapimeni kwanza kwani wenye UKIMWI ni wengi kuliko unavyozani.

Fuata unachofundishwa kanisani na pia soma BIBLIA na uwe mtakatifu.

MUNGU akubariki

Ni mimi Jane,
Mwenge, Dar es salaam
Tanzania

NYONYO LA JOYCE KIRIA HADHARANI a.k.a LIVE MWE!

 



Mwanamke kunyonyesha, chezeyaaaaaaaaa

Mama na mwana, Joyce kiria akiwa na mwanae, umenenepaje!!!

ZILIZOINGIA SOKONI KWENYE BONGO MOVIEZ WIKI HII