TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, April 29, 2013

HUYU HAPA KIBOKO YA DOGO ASLAY MFATILIE UJUE ZAIDI

Kwa jina anajulikana kama DOGO NGWANGI mkali wa kuimba kila haina ya muziki unaokubalika
Anatokea kwenye REC LEBO ya FIRE MUSIC 
Amepiga ngoma yake moja kali sana inaitwa BWII ameimba yeye kama yeye hajamshirikisha mtu.
Chini ya producer MORE FIRE
Jumamosi iliyopita alisikika kwa mara ya kwanza katika kipindi cha bongo fleva cha CLOUDS FM 
kinachoendeshwa na ADAM MCHOMVU kila aliesikia kipindi iko alisikika kwa kusema huyu ndio kiboko na DOGO ASLAY NA DOGO JANJA.
Kama unavyomuona muonekano wake katika picha ndivyo alivyo,Mdogo wa umri lakini mkubwa wa mistari 

Kaa tayari kusikia mengi kutoka kwake soon.ameshaachia ngoma yake ya BWII  iko mtaani tayari kuachia kesho tutaipata kwenye mitandao mbali mbali.XTREME DEEJAYZ INAMKARIBISHA DOGO NGWANGI KWENYE GAME.

No comments:

Post a Comment