TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, December 26, 2013

NITAENDELEA KUWATETEA MASHOGA HADI MWISHO WA UHAI WANG-AUNT LULU



Na Shumba Msitu
Mtangazaji nyota nchini Lulu Semagongo ameibuka na kusema kuwa ataendelea kuwatetea  wanaume ambao si ridhiki "Mashoga" ili wasinyanyasikie kwenye jamii hadi mwisho wa uhai wake.
Akiongea kwa njia ya simu na mwandishi wetu Lulu alisema amekuwa akiumia sana kuona watu wq jinsia hiyo wakiteswa na wengine kuuawa kisa tu ni mashoga hiyo siyo haki ni ukiumwaji wa hali za binadamu kwani mashoga ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine.HABARI ZAIDI NDANI YA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA JUMATANO

No comments:

Post a Comment