TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, December 29, 2013

KUNDI LA KHANGA MOJA LAPIGWA MARUFUKU KUKANYAGA MKOANI BUKOBA, WAAMBIWA WAKITIA PUA ZAO HUKO WATACHOMWA MOTO!


ZiAngalia picha nyingine hapo chini


Na Sakina Shabani
Kundi la Khanga Moja la Jijini Dar limepigwa marufuku kukanyaga Mkoani Bukoba kutokana na vitendo vya kifuska walivyovifanya huko.
Kwa mujibu mwananchi mmoja aliyejitambulisha kwa jina Rubangila aliimbia Xdeejayz  kuwa kundi hilo limeacha laana kubwa sana mkoani humo kiasi cha kutia kinyaa hivyo wananchi mbalimbali wamesema kuwa hata siku moja wasithubutu kutia pua  zao kwenye ardhi hiyo... Habari zaidi usikose gazeti la Maskani Jumatano tarehe 1.

No comments:

Post a Comment