MWIGIZAJI na mwanamuziki Bongo, Baby Joseph Madaha amemchana Nasibu 
Abdul ‘Diamond’ kwa kumwambia awatishie watoto wa Tandale kwani hana 
ubavu wa kuchuana naye.
Akizungumza na paparazi wetu, Baby alifunguka kuwa anamshangaa Diamond kujibu kuhusu jinsi alivyomchana wiki kadhaa zilizopita gazetini na kusema yeye hamuwezi kwani alimtangulia…
""MASKANI BONGO NI ZAIDI YA GAZETI USIKOSE KUPATA KOPI YAKO KILA JUMATANO" "

No comments:
Post a Comment