


Ndege
 ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian
 Airlines) leo mchana  imeshindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa 
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na hitilafu iliyokuwepo Uwanjani 
hapo na kulazimika kutua kwa dharula kwenye Uwanja  Mdogo wa 
Arusha, hali iliyopelekea Ndege hiyo   kupitiliza  na kusimama nje kabisa ya uwanja huo 
huku abiria zaidi ya 200 wakinusurika 
"LEO NDIYO LEO KWENYE UZINDUZI WA CLUB MASIHA MOROGORO" 
 
 
 
No comments:
Post a Comment