TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 7, 2013

UKATILI WA KUTISHA: MTOTO WA KIKE AFANYIWA TOHARA BILA GANZI ALIA NA KUSEMA MUNGU WANGU..MUNGU WANGU NISAIDIE!!!

Na Sakina Shabani kwa msaada wa mtandao.
Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na nusu nchini Kenya ambae hakufahamika jina lake ametia huruma baada ya wazazi wake kumfanyia tohara bila ganzi na kumsababishia uchungu mkubwa.
Tukio hilo linalodaiwa kutokea hivi karibuni lilisema kuwa familia hiyo ambayo ni ya kabila la Mungiki  ambao wanautamaduni wa kuwafanyia tohara watoto wa kike walimfanyia mtoto wao huyo huku akilia kwa uchungu kwa kusema " Mungu wangu mungu wangu nisaidie nakufa" Lakini licha ya mtoto huyo kutamka maneno hayo ghariba hakutaka kumsikia na aliendelea na kazi yake.
 

No comments:

Post a Comment