TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 7, 2013

MASOGANGE KUKAMATWA TENA NA KURUDISHWA LUPANGO, YUMO MANAIKI SANGA, WEMA SEPETU, KAMANDA KOVA APEWA KAZI HIYO XDEEJAYZ YANASA TAARIFA HIZO NYETI!



USIKOSE TAMASHA KUBWA LA AMANI NA UPENDO LITAKALOFANYIKA VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA DESEMBA 8 2013!!!

Agnes Gerald ‘Masogange’ katika pozi.


Video queen grade one Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’.
Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mastaa bongo wameanza kuundiwa kampeni ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kosa la picha za utupu ambazo ni kinyume na maadili ya nchi yetu.
Akiongea na Xdeejayz mwanasheria wa kujitegemea aliyejitambulisha kwa jina la Hawamu Juma alianza kufafanua kuwa" Sheria na maadili ya nchi ya Tanzania yanakataza mtu yeyote kujipiga picha za aibu na kuzisambaza mbele ya watu hilo halikubariki kamwe" Alisema Hawamu
Aidha mwanasheria huyo aliongeza kusema wameamua kuungana na vyombo vingine vya kusimamia maadili ya nchi yetu kuwanusuru watoto wetu ambao wanajifunzi mambo mabaya toka kwa wasanii wetu " Kwa kweli hali ni mbya kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii ni picha za utupu matusi pia kwenye magazeti pendwa na hakuna wa kulieteta hilo sasa sisi tumeamua kusimamia hilo na tutaanza kuwakamata wale wote wenye tabia za kujidhalilisha hivyo ili kuwafikisha mbele ya sheria ambayo kimsingi inakataza" Alisema mwanasheria huyo.
Hata hivyo mtu huyo aliongeza kusema kuwa tayari wamekutana na kulijadili hilo na tutamshirikisha Kamanda Kova pamoja na wadau wengine wa usalama.  
TAMASHA LA AMANI NA UPENDO VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII 8 DESEMBA 2013 

No comments:

Post a Comment