TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 7, 2013

BAADA YA KUWAPIGISHA KWATA WAKAZI WA MJI WA DODOMA XTREME DEEJAYZ KESHO KUMALIZIA HASIRA ZAO KIWANJA CHA HOME CLUB MAISHA DAR!

 IRINGA, MBEYA, TUNDUMA NA ZAMBIA WAUNGANA KWENYE MAPOKEZI YA XTREME DJ LIVE DRUMMER HIVI KARIBUNI!!!
 Maelfu ya mashabiki wakiwa wamepigwa na butwaa mbele ya steji huku wakishindwa kuamini kilichotoke toka kwa Zungu Mnyama kiasi cha kuwa kuwafanya kushindwa kucheza na kubaki kumtizama kwa kazi nzuri yenye ubunifu aliyokuwa akiifanya.


Majizo 4 Chizo "DVJ MAJEY" Akiwahenyesha mashabiki wake kwenye onesho la Xtreme Dj Live Drummer lillilofanyika mwishoni mwa juma ndani ya Club Maisha DODOMA.
Na Sakina Shabani
 Lile kundi hatari kwa burudani zenye ubunifu la XTREM DEEJAYZ kupitia mpango kazi wake wa Xtreme Dj Live Drummer baada ya kufanya mapinduzi makubwa ya burudani Mkoani Dodoma Jumamosi iliyopita sasa wamerejaea nyumbani na Kesho Ijumaa watakuwa kiwanja home Club Maisha Dar kukupa burudani ile ile.
Akiongea na Xdeejayz Hemed Kavu alisema kuwa" Baada ya kutoa burudani kwa mashabiki wetu wa mkoani Dodoma sasa tumerejea City Central yani Dar na kesho Ijumaa tarehe 8 itakuwa kazi kazi ndani ya Club Maisha Dar, hivyo mashabiki wafike kwa waingi kuona mambo mapya na mazuri" Alisema Hk

No comments:

Post a Comment