WANASEMA
za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba 16, mwaka
huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia kudaiwa
kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
huko Tegeta jijini Dar es Salaam.
Hussein akiwa ndani ya gari la polisi waliofika kumnusuru.
No comments:
Post a Comment