TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, November 1, 2013

MACHAPTA INC YAMPA SHAVU LA MKATABA MSANII CHISMO

 



 Chismo akisaini mkataba na msimamizi wake Duwe santana.
 Baada ya kuingia mkataba Mkurugezi wa Machapta Inc Mwinyi Machapta amkaribisha kwa nguvu za kishindo.

Msanii chipukizi anaechipukia jina lake kamili ni Adam Mustafa kwa jina la sanaa ni Chismo, alishawai kusikika na skendo ya kuibiwa wimbo wake na Rich Mavoco na kufanya vizuri “Folow me”  ameingia mkataba na kampuni ya Machapta chini ya Machapta Inc kwaajili ya usimamizi wa muziki wake kwa miaka mitatu.
Kwasasa Chismo amesha saini mkataba huo na yupo mbioni

 kukamilisha video yake ya kwanza kufanya katika kampuni hiyo jumapili hii na ameshaanza kurecord nyimbo katika studio tofauti tofauti za hapa nchini.
Kwa upande wake Chismo anafunguka na kusema nilianza 
mziki  kama dansa na nilifanya kazi ya udansa kwa Bob Junior nikatoka nikaenda kwa Dully Sykes  nandipo nikaamua kuungana na Baby J lakini ndoto yangu haiku kamilika na kunakipindi Tunda man alikua anafanya poa nikaamua kumuomba na akanikubalia kwakua alikua anaona uwezo wangu ila muda ulivyo zidi kwenda ndio nikakutana na Rich Mavoco na nikafanya nae pia kazi lakini nikiwa nae mazoezini Rich nilikua naimba nyimbo yangu ya Folow me na yeye alikua anaipenda sana na akawa ananirecod kumbe mwezangu akaingia stodio na kufanya kweli, Kote nilipo pita ilikua kama sehem yangu ya kujifunzia tu.Machapta Inc ni Lebo mpya iliyo zaliwa chini ya Machapta Production iliyopo kinondoni vijana

No comments:

Post a Comment