TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, October 23, 2013

ZILIZOINGIA SOKONI WIKI HII KUTOKA BONGO MOVIES

 

Faith in mwanamziki chipukizi pia ni mwanafunzi wa secondary ambaye alikua na ndoto za kutoka kimziki, aikutana na misukosuko mingi hatimaye mama yake alimshauri kuolewa ili aupuke na matatizo, kasha ikiwemo skendo za magazetini, kilichotokea mama mtu nae akajikuta anaolewa na mume wa mtoto wake… fuatilia nini kinacho endelea…
Casts: Adam Kuambiana, Patcho Mwamba, Ummy Wenceslaus, Gelly wa Rhymes, Benny Kinyaiya, Jane James Mkondya, Msafiri Coy, Asina Mohamed, Edger Martin
Story & Script DOKII WENCELSLAUS, camera & edited E-MEDIA, Producer TANZANIA WOMEN entertainment, directed by SAM, Executive producer STEPS ENTERTAINME
Kila kazi ina heshima yake. Nesi Selena aliheshimika kwenye mtaa wake kutokana na kazi yake lakini kazi yake hiyo hiyo iliwaumiza sana wanajamii wake akiwemo mama yake mzazi. Fuatilia kisa hiki cha Nesi Selena.
Casts: Salma Jabu, Yusuph Mlela, Sabrina Rupia, Suleiman Barafu, Cathy Rupia, Asfa Omary, Kea Kitado, Extra: Warda Jabu, Nasra Rajesh, Mwaidi Mbaga, Luckness Mokiwa, Hessein Juma, Sara, Jacky, Sam, Jenny, Salam, 
story- LAMATA producer- MLELA PRODUCTION camera JOHN LISTED script- LAMATA ENT"10’MENT director - LAMATA, Directed by Leah Richard
Ugumba si kilema lakini kwa Adela imekuwa kama laana,mateso na manyanyaso ni sehemu ya maisha yake. Maamuzi yenye matarajio ya leo yameificha kesho na kuibua….! PASUKO LA MOYO fuatilia kisa hiki…
Casts: EMMANUEL MYAMBA, SULEIMAN BARAFU, CATHERINE RUPIA, NDUMBAGWE MISAYO, MADINA KHAMIS, CHUMA SULEIMAN, JUMA MWAKA, KETH, MKONO, HAPPY MTUYA, ELIZABETH CHIJUMA, ALLY HAMUD, SOLANGE MATANGA, FARAJI KAKINGO, MARY JOHN, FALIS KUYOPA, GERALD KISISIWE
producer - DR.J MWAKA, executive producer DR.J.MWAKA story - ALPHA NONDO, script - ALLY YAKUTI; director - EMMANUEL MYAMBA, camera - SALEHE KHAMIS & FARADI KAKINCO; editor JAMES LUZIGA, graphics designer FRANK SWAI
Hakuna umbali mbele ya sheria kwakuwa mkono mrefu, na siku zote ukweli hujitenga na uwongo.
Cast: Jimmy Mponda, Angel Magige, Veronica Nyankere, Charles Magari, Shamsa Danga, Oshoseni Munuo
Story: Jimmy Mponda, Producer: Mzimuni Theatre Art, Camera: Kenny Haych/ Hamis Mohamed, Script: Jimmy Mponda, Director: Jimmy Mponda, Executive Producer: Sterps Entertainment.

No comments:

Post a Comment